ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,883
- 60,915
jamaa kalinunua kibiashara... anaweza piga hela maradufu...Ngoja waje wazee wa kupangiana matumizi tusikie maoni yao.
Si ukashone kwa mafundi.cherehani...??Mi nalikubaligi sana lile la thriller. Nitalitafuta aiseee.View attachment 935544
Umenipa wazo zuri, ila kwa kitambaa vya kawaida sidhani kama litakuwa zuri kiasi kile.Si ukashone kwa mafundi.cherehani...??
Tumia vitambaa vile viguhumu ... kama vile vya sofa/seat cover....[emoji849][emoji849].....Umenipa wazo zuri, ila kwa kitambaa vya kawaida sidhani kama litakuwa zuri kiasi kile.
LeatherTumia vitambaa vile viguhumu ... kama vile vya sofa/seat cover....[emoji849][emoji849].....
We umewagawia Stars sh ngapi?Duh,kweli watu wana hela,sio lijamaa limoja limewapa taifa starz tumilioni 50 mikwara kama yote vile
Kama 4000 tu unauliza itakua milion https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/819329/Duh,kweli watu wana hela,sio lijamaa limoja limewapa taifa starz tumilioni 50 mikwara kama yote vile
Kama 4000 tu unauliza itakua milion https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/819329/
Fundi cherehani hausiki na kushona nguo yeye anahusika na kuitengeneza cherehani (fundi wa charahani)Si ukashone kwa mafundi.cherehani...??