technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Watanzania walishaikataa hii katiba kwa kusema haitufai na ni mbovu sasa mtu akiivunja tunamlaumu kwa nini?
tusimlaumu anayeivunja katiba tumulaumu aliyetupa katiba mbovu
Na tuanze sasa kupigania katiba mpya !!
Kazi yangu ni kushauri na kuongea ukweli milele ?
Ingawa naunga mkono operations Ukuta lakini kuna makosa ya kimkakati ya Kutowashirikisha wana ukawa wote katika maandamano yenu !!
Haya maandamano yalitakiwa kuwashirikisha NCCR,CUF na NLD
Kitendo cha kuvitenga hivi vyama mnafanya makosa hapo !!
Mlipotuletea manifesto ya chama uchaguzi uliopita hatukuona mkileta manifesto zaidi ya moja hivyo Sera yenu ingeendelea kuwa moja tu ya kuviunganisha hivi vyama viwe na ajenda za kudumu kama
Kupigania Ufisadi
Kutafuta katiba mpya
Kutafuta tume huru ya uchaguzi
Kupambana na wavunja katiba mpya itakayopatika.
Tulishawai kuongea lugha moja kuwa katiba tuliyonayo ni mbovu na hatuiitaji tunachokitaka ni katiba mpya !!
Sasa kama tunataka katiba mpaya iweje twendelee kuipigania ya zamani tena tunayojua ni mbovu??
Mwacheni Rais avunje katiba hii aimalizie ili tutafute vizuri katiba mpya
Waiteni CUF ,NCCR na NLD tudai katiba mpya!!!