ungekua una nia ya kumuacha usingekuja huku
huku unatafuta baraka au nini ??
hivi unajua matumizi ya ky jelly ??
ngoja mwenyewe agundue
ungekua una nia ya kumuacha usingekuja huku
huku unatafuta baraka au nini ??
hivi unajua matumizi ya ky jelly ??
ngoja mwenyewe agundue
Mke wa mtu sumu mkuu au unataka mpaka uliwe 0713....?
Kiongozi uupo? ha ha ha ha
Kosa lako ni uzinifu
Fikiri wamekutana mwezi uliopita leo wanaishi kama mke na mme.... Hii ni shidaaaaaaaaaa, huyu binti alitaka hifadhi kwa malipo ya ngono haya mengine yanatokea bila kukusudiwa.Muache mke wa mwenzio, tena mwambie awe mkweli siku nyingine maana anaweza sababisha mauaji yasiyotarajiwa.