Acha uoga.
Ccm tulieni sindano iwaingie.
Mlifanya siasa mda wote wapinzani mkiwafungia,saa hizi mtuachie nafasi.
Kauli zinazotolewa na lissu hazina tofauti na zinazotolewa na jpm jukwaani.Ndo maana nimesema anayemmudu jpm ni lissu pekee
Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi hayaCcm tulieni sindano iwaingie.
Mlifanya siasa mda wote wapinzani mkiwafungia,saa hizi mtuachie nafasi.
Siasa soft wapinzani hawatoboi mbele ya jpmHapo ni spana kwa spana tu
Mimi ni mshabiki was lissu mpaka naumwa, mpaka sasa nimeshapata wafuasi was lissu 500+Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
mambo yanazidi kunoga ukuSiasa soft wapinzani hawatoboi mbele ya jpm
Please JAH give ME a long life with strong health .to witness this hypocrite or rytoric words from our giant hypocrites ...acha zile vite feki alikua anatangaza magufuri, eti vita ya uchumi, sasa ndio tunaingia vitani sasa, tunaingia vitani dhidi ya magufuri.
Mimi ni mshabiki was lissu mpaka naumwa, mpaka sasa nimeshapata wafuasi was lissu 500+
Kwa sasa ni jino kwa jino, siasa za lowasa zilikuja kuididimiza cdmSiasa soft wapinzani hawatoboi mbele ya jpm