Mtu yeyote anae tetea ujinga si wa kumuonea huruma ... Acha wauane watibuane wafukuzane labda nchi itapumua
Unajua katibu mkuu wa bunge anateuliwa na Rais ambae ndo mtendaji mkuu wa bunge acheni porojo katiba ya ya Tanzania ni mbovu kama mtendaji wako mkuu anateuliwa na Rais wewe spika Una nguvu gani?
Umepiga kwenye mshono.watu wengi kwa maoni yangu wanalaumu tu lkn hawaelewi labda jinsi mfumo wa tanzagiza ulivyo na unavyofanya kazi, hakuna ambaye anaweza kwenda against raisi wa tanzagiza ndani ya tanzagiza anachotaka kinafanyika, rejea Ndugai alihoji tu na siyo kwamba labda alichukua action yoyote kama spika bali kuhoji tu kesho yake kaandika barua ya kujiuzulu, mfano mwingine ni kilichomkuta Lipumba na wala siyo mwajiriwa wa serikali au kwamba ni mwanachama ccm bali ni mpinzani lkn kafukuzwa chamani kwa kutoa maoni yake tu jambo kama hilo kwa nchi nzyingine haliwezekani kabisa, sasa ije kuwa spika wa bunge ambaye analipwa, analindwa, na serikali? sana sana akibisha kesho wanamobilize wabunge wanapiga kura kumuondoa kama usalama hawajamzingira bado ...
Naona unapulizia kinyesi perfume.Heshima sana wanajamvi.
Tulia wa leo si wa jana wala juzi.
Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka.
Wengi mtakumbuka sakata la Kilimanjaro International Airport kumilikiwa na KADCO.
Wabunge walipiga kelele kubwa ni kwanini hata baada ya serekali kununua hisa zote bado ilikuwa kizungumkuti kuurejesha chini TAA kama ilivyo viwanja vingine.
Tulia bila kujua KIA inatakiwa kuuzwa kwa WAARABU akashikilia bango urejeshwe TAA.Hilo lilikuwa kosa kubwa sana katika siasa za wakati huu za kuuza rasilimali za TANGANYIKA.
KIfo cha Mh Lukivu ilitegemewa labda angekumbukwa lakini tabia yake ya kupenda kuongea ongea kama Kasuku aliyekosa maji kwa siku kadhaa ilizidi kuwa kero ikabidi Mumewe atumbuliwe ilikumweka sawa.
Tulia mimi naona ni wale wanawake mcharuko. Kichwa hakijatulia na hana busara. Huwezi kujua kama ameenda shule. Hajui aongee nini na wapi na aji-behave namna gani anapokuwa sehemu tofauti tofauti. Kwake yeye kwenye mazishi anaweza kuwa yupo super happy na anazungumza kama yuko kwenye party. Kwa kifupi ni kishoia wa kiwango cha lami.Wapi namwonea huruma ?.
Tulia alimzodoa Late Ndugui akafurahia kuvaa viatu vyake.
Tulia alikuwa mstari wa mbele kutetea uuzwaji wa Bandari.Hii dhambi itaendelea kumtafuna maisha yake yote ya kisiasa na kiimani.
ALifikiri kuitetea KIA kungefuta makosa yake yote ya nyuma kumbe wapi !.
Tulia mimi naona ni wale wanawake mcharuko. Kichwa hakijatulia na hana busara. Huwezi kujua kama ameenda shule. Hajui aongee nini na wapi na aji-behave namna gani anapokuwa sehemu tofauti tofauti. Kwake yeye kwenye mazishi anaweza kuwa yupo super happy na anazungumza kama yuko kwenye party. Kwa kifupi ni kishoia wa kiwango cha lami.
Kwahiyo Samwel Sitta alikuwa fala sana.Mtu akiwa Spika afu uje umpe Uwaziri ni kumdunisha. Kuwa Waziri Mkuu ni sawa.
Kuwa bosi wa mhimili wa Bunge ni sawa na Chief of ministers/ Prime Cabinet Secretary kibongo bongo tunaita Waziri Mkuu au Prime Minister.
Spika wa Bunge ni Bosi wa Waziri Mkuu na Mawaziri wote bungeni.
Waziri mkuu ni kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ambako Spika ni bosi.
Spika kwa mamlaka yake anaweza ipa serikali maelekezo kupitia Waziri Mkuu. Wajibu wa Bunge ni kuishauri, kuikosoa na kuiwajibisha serikali.
Spika ni mtu mkubwa, sema cheo cha kupewa ndio hivyo sasa. Mzee Samuel Sitta ndie alijua na akaweza kuitumia nafasi ya Spika.
Waliofuata wote ni mapopoma, waoga waoga na wapo kwa ajili ya kuitetea serikali.
Kwahiyo Samwel Sitta alikuwa fala sana.