Uko sawa mkuu jk ni mtu wa diplomasia anapenda watu kuwa huru na kuonesha hisia zao lakini kwa vile taifa hili wanasiasa wengi ni wehu wanatumia vibaya uhuru waliopewa lakini baada mwaka mmoja tu uhuru kama huu hawataupata tena watamkumbuka sana jk.Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje?
Bwana kaya na wewe amka hawa wasakatonge wasitusumbue nchini na kuivuruga amani.
Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo walio wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.
...na Lukuvi pia!Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.
Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo walio wajinga kama Lisu na wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.
Chini ya uongozi wake wakina Babu Seya na mwanae wanaozea jela; wakina Ulimboka wameteswa na kutupwa MABWE Pande; wauza madawa ya kulevya na majangili wamelindwa!!!
Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje?
Bwana kaya na wewe amka hawa wasakatonge wasitusumbue nchini na kuivuruga amani.
Diplomasia hiyo