Korosho vs Zitto.

Sasa hiv jiwe kajikausha kauu kabisa as if sio yeye aliyeharibu kilimo na biashara ya korosho. Noma sana mjue.
 
Tatizo la nchi yetu hatuna mifumo ‘systems’. Nchi inaongozwa na maagizo ya kila siku kama vibarua ndio maana mambo huanzishwa leo na kufeli kesho.
 
Mifumo ipo tatizo bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi ( CCM). Hawawezi kuwajibishana. Upuuzi kama huu nchi za wenzetu Magufuli alitakiwa kujiuzulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…