Korosho business

Korosho business

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
Wandugu,

Natafuta wapi naweza kununua korosho kwa wingi na kufanya biashara ya korosho, natafuta contact za watu wa Mtwara au kokote zinakopatikana kwa bei nafuu.
 
Wasiliana na Vyama Vikuu vya Ushirika vya Mtwara-Masasi (MAMCU) na tandahimba-Newala (TANECU) utapata taarifa za msingi kuhusu upatikanaji wa korosho
 
Wasiliana na Vyama Vikuu vya Ushirika vya Mtwara-Masasi (MAMCU) na tandahimba-Newala (TANECU) utapata taarifa za msingi kuhusu upatikanaji wa korosho

Asante Mafilili, je unaweza kuwa na contact zao unisaidie?
Asante sana
 
Call: 0784 560715 or 0754 606580 or 2113161 or 0715 560715
 
Kama utapata shida ya kuwapata nifahamishe.
Mkuu hii biashara inalipa sana.
 
Kama utapata shida ya kuwapata nifahamishe.
Mkuu hii biashara inalipa sana.

Shukrani sana kamanda Asante, nimepiga nimempata mtu mmoja amenielekeza office zao nitaenda kuwaona.
 
Wandugu,

Natafuta wapi naweza kununua korosho kwa wingi na kufanya biashara ya korosho, natafuta contact za watu wa Mtwara au kokote zinakopatikana kwa bei nafuu.

Ni pm nikupe contact
 
ex Factory Mtwara Cashew Nut kernel prices
with effect from 1st August 2012.
cleardot.gif

Wholes:- ww 180 …… Tshs 22,000/=
Ww 210 …... ,, 20,000/=
Ww 240 …... ,, 18,600/=
Ww 450 . ….. ,, 16,500/=
Ww 500 …… ,, 14,500/=

Pieces :- Splits ……… ,, 12,600/=
Pieces ……. ,, 11,000/=
Small Pieces… ,, 7,000/=
Baby Bits …... ,, 6,000/=
 
These prices are they per kg? What is the packing details? ie form of packing and weight per package.
 
I am sorry price is per kg. Packed in 15kg bags.

10 Tons available for sale. (ex-Mtwara).
 
Back
Top Bottom