pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Wakuu siku kama saba 7+ zilipita nilishiriki tendo na Dada mmoja kwa kutumia kodomu lakini baada ya siku mbili niliona Pumbu linauma hasa lile la kulia lilikuwa likivimba sana na kuuma kila likigusa suluali.
Nikaenda famasi kuchukua dawa ila kwa maelezo yake akaniambia naumwa mchango au nililala na mwanamke mwenye mchango..hivyo natakiwa kutumia hii dawa hapa chini.Nina siku kama ya tatu Leo natumia lakini naona hali IPO pale pale Pumbu alipungui ila kuuma limepunguza kidogo...
Kama kuna MTU alishawai patwa na tatizo ilo naomba anisadie yeye alipona kwa dawa gani..pia madaktar waliomo umu naomba mnisaidie nifanyeje.
Karibuni kwa ushauri.