Korodani! Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Korodani! Msaada jamani

Discussion in 'JF Doctor' started by wamba, Sep 13, 2012.

 1. w

  wamba Senior Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana JF, mimi ninatatizo ambalo limeanza hivi karibuni sijaenda kwa daktari au la ila tatizo lenyewe ni kwamba korodani zangu zinakuwa zinauma sana je ni sababu ya nini na nifanyeje ili kuondoa tatizo hili?
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  nenda hospitalini ukatibiwe
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wahi hospital hapa si hospital. Hicho kiungo ni sensitive sana na sijui kwa nini unapoteza muda wako hapa!!! Tena tafuta daktari Bingwa wa wanaume.
   
 4. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mara ya mwisho ulifanya mapenzi lini wewe?JARIBU KUPIGA PULI a.k.a punyeto labda itasaidia
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nadhani ungeweza kuelezea zaidi jinsi inavyouma...
  mara nyingine ni UGWADU/nyege tuu...
  au ngiri...pia yaweza kuwa dalili ya busha...
  cha msingi lakini nenda tu hosptali...
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Shughuli! Dr BAGAH, nakusalimia tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280

  kama hamna majibu ya kitabibu bora mkae kimya! tu! msilete mzaha na afya za watu!

   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mimi mzima wangu...
  hivi kwenye hili jukwaa tunaruhusiwa kutaja viuongo vyetu live?
  kwa mfano PUMB* badala ya korodani...
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  zako MTAMA tu huna jipya...
  we unaona tumeandika vumbi hapo?
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo kuna more than 10 differential diagnosis popping my mind .. cha kufanya nenda hospitali utafanya US & P.E utajua nini chanzo cha tatizo lako
   
 11. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  dogo tatizo ni kuwa hujapiga mambo kitambo so tafuta mtu au ingia bafuni mkuu
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  watu wengine sijui vipi! i guess u should change ur name to epididymis .. coz u behave like one!
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  dokta njiwa zitaje basi...
  hata tano tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  trauma, testicular torsion , infection, hernia, inflammation, tumors ... etcl !
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Sasa si useme tu physical examination na ultra sound? Acha kudolishia wenzio, nao waka-google, mweeh!
  Shuleni siku ya msihano ulikuwaga unajifunikia na mkono ili BAGAH asikudesee eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hujui raha ya humu eh? Hapa unataja na kushika chochote utakacho. Wewe tu na balaa lako. Ila vyeti vinahakikiwa kwanza manake mmmh!
   
 17. w

  wamba Senior Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ingawa si wote wenye nia njema au utani unakuwa mwingi kwenye jambo muhimu ila nashukuru kwa mawazo yenu, nadhani hapa ni kwenda hospitalini tu ndiyo suluhisho, nilitaka kujua basic ya tatizo km hilo kwakuwa mimi si mtaalamu wa kitabibu (dactari) hivyo nimekuja hapa ili angalau nipate mwangaza wa jambo km hili, ila kwa ushauri ulio mwingi nimeona afadhari niende hospital tu nikajue kinachoendelea, asanteni sn wana JF the tatizo/ufumbuzi wake nitakuja tena hapa ili tuweze saidiana kwakuwa inawezekana yupo mtu anatatizo km langu na likamsaidia.
   
Loading...