MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,768
Katika mazoezi ya Pamoja, Jeshi la Korea Kusini na Marekani yamefyatua makombora 8 ya Masafa Marefu (Surface to Surface Missiles) kujibu uchokozi wa ufyatuaji wa makombola unaofanywa na Korea Kaskazini.
Makombola hayo yalisafiri umbali wa 520 KM kuelekea Bahari ya Atlantic. Rais Mpya wa Korea Kusini ameapia kujibu uchokozi wa Pyongyang kwa Nguvu za kijeshi baada ya miongo kadhaa ya kutafuta majadiliano na Utawala wa Korea Kaskazini bila Mafanikio yoyote Yale.
South Korean military says the action is a demonstration of the allies readiness to respond to N Korean ‘provocations’.
S Korea, US fire eight missiles in response to N Korea tests