Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola

sisi tuna matatiZo katika fahamu zetu ,one day africa tukiungana tukawa na sera ZA pamoja america na ulaya watalia sana.ngoja hawa viongoz tulio nao wapite.

Unajua siku zote nasema wa Afrika ni wavivu wa kutafakari na kufikiria (na watanzania ni mara kumi zaidi ya mwafrika wa kawaida kwa huo uvivu)!

Na huu uvivu ndyo unasaabisha nchi zetu ziwe kama kichwa cha mwendawazimu, kila taifa la njeya afrika linakujakufanya majaribio yake
 
Ndugu PTER na mavado kwenye topic hii nimeandika reply zaidi ya moja,mmezisoma zote?mmefuatilia kama nilivyo agiza?kama mnaweza kuingia kwenye JF basi sina shaka hata youtube na mitandao mingine mnaweza pia.Sasa ondoeni uvivu na mfuatilie reply zangu zote halafu mje tena kwangu.Fuatilieni pia link aliyotoa ndugu Kambalanick halafu linganisheni na nilichokieleza mimi.Hapo tutakuwa kwenye uwanja mmoja wa mjadala.

Ndugu Mkuu wa chuo usichukulie mambo kirahisi.Ondoa uvivu ulionao na fuatilia reply zangu zote kwa makini na taratibu,unganisha pia na link aliyotoa ndugu Kambalanick halafu linganisha na nilichoandika mimi.Nilichomaanisha kwenye ID yangu ya Deception ni kwamba asilimia kubwa ya vitu unavyovijua ni uongo,kama hujui hilo basi fanya uchunguzi.HIV/AIDS,CANCER CURE,DIABETES CURE,EBOLA,WTC BOMBING,FEDERAL RESERVE SYSTEM OF USA,IRAQ OP,AFGHAN OP,USA LANDING ON THE MOON IN 1969,VIETNAM WAR,MARIJUANA ACT IN 1937....and so many others we are DECEIVED.Hayo ndio yaliliyobeba maana ya ID yangu na ndio maana nimo humu JF kwa ajili ya kuwaponya ubongo watu kama ninyi.Kwa sababu sibahatishi ninachokijua,ndio maana nakaribisha maswali,kuwa huru uliza upate kuelewa ukweli.Ukweli utakuweka huru.

Nina wasiwasi kama watu watafuatilia link aliyotoa Kambalanick kwa sababu ni ndefu,na ninavyowafahamu ndugu zangu sisi weusi kwa uvivu tunatisha mno na ndio maana huwa nasema WASOMI ni wengi ila WAELIMIKA ni wachache sana.Ila tuwe makini ndugu zangu,tuache dharau,tufuatilie kwa kuwa jambo usilolijua laweza kukusababishia kifo.

Pia kuna watu wanapenda sana kurukia kusema eti mungu atunusuru,sasa mungu amekupa ubongo/akili ili ufanyie kazi gani?Kama kila jambo hata kama dogo kiasi gani tunamrundikia mungu,sisi tutautumia ubongo kwenye jambo lipi?Mnanikumbusha mechi ya mpira kati ya timu mbili,zote zinamuomba mungu halafu cha kushangaza moja inafungwa....angalau zingetoka sare ingeleta maana kidogo.Tukitaka kuondokana na utumwa huu sharti tuondoe uvivu na tujielimishe kwenye mambo ya msingi.Mtu anapotoa maelezo yake tusikimbilie kubisha kabla ya kudadisi alichokisema,desturi hii ndio inatufanya tuwe hapa tulipo leo hii wakati wenzetu wazungu wanachanja mbuga.Si uchawi ni elimu tu.
 
Mkuu kuna watu wanamapenzi marekani na ndiyo maana ni vigumu kukuelewa,maana kwa jinsi mapenzi yao kwa marekani yalivyokuwa yamepitiliza,inafikia hadi mtu kutetea marekani hata kwenye haya mauji yaliyofanyika kwa watu weusi wenzetu huko marekani.
 
Ndugu PTER na mavado kwenye topic hii nimeandika reply zaidi ya moja,mmezisoma zote?mmefuatilia kama nilivyo agiza?kama mnaweza kuingia kwenye JF basi sina shaka hata youtube na mitandao mingine mnaweza pia.Sasa ondoeni uvivu na mfuatilie reply zangu zote halafu mje tena kwangu.Fuatilieni pia link aliyotoa ndugu Kambalanick halafu linganisheni na nilichokieleza mimi.Hapo tutakuwa kwenye uwanja mmoja wa mjadala.

Ndugu Mkuu wa chuo usichukulie mambo kirahisi.Ondoa uvivu ulionao na fuatilia reply zangu zote kwa makini na taratibu,unganisha pia na link aliyotoa ndugu Kambalanick halafu linganisha na nilichoandika mimi.Nilichomaanisha kwenye ID yangu ya Deception ni kwamba asilimia kubwa ya vitu unavyovijua ni uongo,kama hujui hilo basi fanya uchunguzi.HIV/AIDS,CANCER CURE,DIABETES CURE,EBOLA,WTC BOMBING,FEDERAL RESERVE SYSTEM OF USA,IRAQ OP,AFGHAN OP,USA LANDING ON THE MOON IN 1969,VIETNAM WAR,MARIJUANA ACT IN 1937....and so many others we are DECEIVED.Hayo ndio yaliliyobeba maana ya ID yangu na ndio maana nimo humu JF kwa ajili ya kuwaponya ubongo watu kama ninyi.Kwa sababu sibahatishi ninachokijua,ndio maana nakaribisha maswali,kuwa huru uliza upate kuelewa ukweli.Ukweli utakuweka huru.

Nina wasiwasi kama watu watafuatilia link aliyotoa Kambalanick kwa sababu ni ndefu,na ninavyowafahamu ndugu zangu sisi weusi kwa uvivu tunatisha mno na ndio maana huwa nasema WASOMI ni wengi ila WAELIMIKA ni wachache sana.Ila tuwe makini ndugu zangu,tuache dharau,tufuatilie kwa kuwa jambo usilolijua laweza kukusababishia kifo.

Pia kuna watu wanapenda sana kurukia kusema eti mungu atunusuru,sasa mungu amekupa ubongo/akili ili ufanyie kazi gani?Kama kila jambo hata kama dogo kiasi gani tunamrundikia mungu,sisi tutautumia ubongo kwenye jambo lipi?Mnanikumbusha mechi ya mpira kati ya timu mbili,zote zinamuomba mungu halafu cha kushangaza moja inafungwa....angalau zingetoka sare ingeleta maana kidogo.Tukitaka kuondokana na utumwa huu sharti tuondoe uvivu na tujielimishe kwenye mambo ya msingi.Mtu anapotoa maelezo yake tusikimbilie kubisha kabla ya kudadisi alichokisema,desturi hii ndio inatufanya tuwe hapa tulipo leo hii wakati wenzetu wazungu wanachanja mbuga.Si uchawi ni elimu tu.

Tatizo lako mkuu,unaandika kama unaogopa,huweki mambo kama mtu mwenye nia ya kuelewesha watu,ila kama mtu mwenye kutaka watu wajue yeye anajua nini.

Mimi nadhani ungeanzia mwanzo.

Ukimwi ninini?,ni kwa vip hausababishwi na huyo kirusi kama watu walivyomezeshwa,unafanya nini baada ya kujua umeishaupata?vidonge vinasababisha vip madhara zaidi mpaka kifo?

Hii ni habari nzito/mpya ukiamua watu wajue,fanya wajue si kila mtu anaweza fika huko uliko mdirect.

GT huwaga sie hufanya.
 
Mkuu deception tunaomba vitu maana wengi wetu tushaanza kuwashtukia wamarekani, wameigeuza africa sehemu ya majaribio na miradi ya kipumbavu...tuongezee link mkuu
 
Tatizo lako mkuu,unaandika kama unaogopa,huweki mambo kama mtu mwenye nia ya kuelewesha watu,ila kama mtu mwenye kutaka watu wajue yeye anajua nini.

Mimi nadhani ungeanzia mwanzo.

Ukimwi ninini?,ni kwa vip hausababishwi na huyo kirusi kama watu walivyomezeshwa,unafanya nini baada ya kujua umeishaupata?vidonge vinasababisha vip madhara zaidi mpaka kifo?

Hii ni habari nzito/mpya ukiamua watu wajue,fanya wajue si kila mtu anaweza fika huko uliko mdirect.

GT huwaga sie hufanya.

Ndio kitu anachokifanya Deception, haya madai kuna mtu kule jf doctor alishakuja nayo, ukisoma yale maelezo ni kama siasa fulani hivi, baada ya kumuuliza maswali hakuweza kujibu, yeye alikuja kabisa na dawa ya ukimwi anaanza kuelezea nazi eti inatibu na baadhi ya vitu vingine kumswalisha maswali hakuweza kujibu, watu wanasema kuna tiba ya hayo magonjwa sugu... lakini huwa naona kama siasa zinapigwa tu... Mtu anadai ARV zinasababisha ukimwi lakini haonyeshi kivipi!? kwasababu ARV sio chakula kile kwamba unakula ndio unapata... ARV inatumika baada ya matokeo...
 
Last edited by a moderator:

Sjui tatizo liko wapi!!

Ngoja tusubiri labda ana andaa notes.
 
Last edited by a moderator:
Cause jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high
We know we shall win, yea
We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears oooo,
 
Inanisikitisha sana;kwenye reply zangu nimetoa link pamoja na dodoso zenye maelekezo wapi utaenda kupata kile ninachokieleza kwa undani zaidi.Inatia shaka kama wanaolaumu wamesoma reply zangu vizuri.Wengine wanakuja na negative attitude zao eti nataka kuonesha kwamba najua nini,sasa mimi itanisaidia nini wakati hunioni na wala hunifahamu?Wengine wananiuliza maswali ambayo kama kweli wangepitia nilichoandika wasingeuliza.Mfano;kuhusu madhara ya dawa za ARVs nilishatoa link na nimeelekeza baada ya kubofya link nenda sehemu ya WARNING.Link yenyewe hii hapa; Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo

Pengine mimi ndio nina matatizo;Vipi kuhusu Kambalanick naye.Yeye ametoa link ambayo inaeleza almost kila kitu kuhusu ukweli wa HIV/AIDS,Historia,sayansi,vipimo,madawa,madhara ya madawa na maelezo lukuki kutoka kwa madaktari maarufu duniani wanaojihusisha na suala hili.Inawezekana Kambalanick naye ana matatizo,ila akili yangu inanishawishi kwamba watu wengi hawajasoma kilichomo kwenye link yake.Link ni hii hapa kama hamjafanikiwa kuiona;
The AIDS Debate The Most Controversial Story You've Never Heard By Liam Scheff *

Watu wananikumbusha topic moja iliyoanzishwa na Sikonge inayosema
Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Jamaa nimemsifu sana,aliweka karibu kila kitu,lakini reply zilizotoka juu ya topic hii ni aibu,yaani inaonekana wazi kwamba watu hawajaisoma kabisa,wamesoma title tu jinsi walivyokuwa wavivu.Utaratibu wetu wa kupenda kufaulu mitihani kupitia 'madesa' nadhani ndio uliotuathiri.Inawezekana Sikonge naye alikuwa na matatizo, lakini upeo wangu unanionesha kwamba ni hurka ya uvivu walionayo watu ndio imewafanya wasimuelewe alichotaka kubainisha.

Wana JF wenzangu,mimi nina nia njema tu ya kutaka na wengine wafahamu ukweli huu.Lakini ninachokiweka humu hakifuatiliwi,hicho ndicho kikwazo kikubwa,watu wanapenda wamezeshwe tu,elimu haiji hivyo ndugu zangu.Wengine wanasema watu kama sisi tukiulizwa maswali tunakwama.Mimi naomba niulizwe swali lolote ambalo mtu anaona lina utata tuone kama nitakwama.Kwa kuwa HIV/AIDS ni feki,hakuna kitu chenye utata,everything is well documented by AIDS DISSIDENTS.Uliza ujibiwe.

Dokezo:Angalieni/sikilizeni hiyo clip Mungu wa watu wanaoamini katika 'dini' ya HIV/AIDS.Kama Mungu wao anasema hivi,hao wafuasi wake ni kina nani hata wapinge hili aliloongea?Angalia hii link kama hujaelewa uliza;

https://www.youtube.com/watch?v=XSSpoFq7uhM
 
Waafrika wengi ni wavivu kusoma. Cheki mkisafiri kwnda upcountry,wazungu wengi utakuta wasoma vitabu,lakini waafrika wengi utakuta wameweka earphone masikioni wanasikiliza diamondi au wamelala!
 
Deception, Ni kivipi ARV inasababisha ukimwi na sio VVU!? usiniambie nikasome side effects, kwasababu dawa nyingi tu zina side effects...

Kama kungekuwa na tiba ya Kansa, Kisukari, HIV/AIDS kiulaini kabisa kama unavyotuaminisha, mbona watu wanasumbuka... usilete link halafu uniambie nikasome, naomba unielezee, maana maelezo yako nayaelewa zaidi kuliko ma link...

Halafu ningeomba unielezee kwanini MARIJUANA imepigwa marufuku...
 
Last edited by a moderator:
Hivi tumeshawahi kujiuliza ni kwa nini haya magonjwa yote yanaanzia Africa? Nikimwwnisha HIV/AIDS na EBOLA.
Africa imekua ikitumika kama testing ground ya Bio Weapons za Western Countries hasa USA.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna HIV AIDS TYPE A na HIV AIDS TYPE B?
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini HIV Type A inampata mtu mweusi tu na sio Mzungu (Na hii ndiyo ipo inatuburuza Duniani kote)
HIV type B imetengenezwa mahsusi kwa ajili ya ngozi nyeupe since kuna tifauti ya kibaiolojia katika seli za mwanadamu mweusi na mweupe.
US inahusika moja kwa moja na kuasisiwa kwa magonjwa haya mawili ya EBOLA na AIDS na Bara letu la Africa linatumiwa kama Testing zone.
 
Back
Top Bottom