[h=2]Korea Kaskazini imepuuza onyo la kimataifa na kuendelea na mpango wake wa kujaribu makombora yake ya masafa marefu, kujaribu makombora yake kutumia teknolojia ya kisasa,hatua ambayo pia wanasema imewakumbusha kiongozi wao Kim Jong IL aliyefariki dunia mwaka mmoja uliopita.
[/h] Hatua hiyo ya Pongyang imekashifiwa na Korea Kusini, Marekani,Urusi na Japan mataifa ambayo yameonesha kusikitishwa na hatua hiyo ambayo wanasema inatishia usalama wa kanda hiyo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, anasema Korea Kaskazini imekeuka azimio la Umoja wa Mataifa huku wajumbe wa Umoja wa Mataifa wakitarajiwa kukutana baadaye siku ya Jumatano kuzungumzia hali hiyo.
Serikali ya Japan inasema kombora za Korea Kaskazini zilifikia katika mpaka wake na kufikia katika eneo la nchi kavu Kusini mwa nchi hiyo.
Hata hivyo, washirika wa karibu wa Korea Kaskazini China hawajazungumzia jaribio hilo lakini rtipoti iliyochapishwa katika gazeti la seriklai la Xinhua iliwataka jirani za Korea Kaskazini kuwa watulivu wakati wa jaribio hilo.
Marekani inasema kuwa Korea Kaskazini iko katika harakati za kutengeneza makombora ya masafa marefu yanayoweza kufika Pwani ya Marekani.
Jaribio lingine la Korea Kaskazini ilikiuwa ni mwezi Aprili mwaka huu ambapo kombora lake lilitibuka dakika chache baada ya kurushwa angani.
Korea Kusini yafanya majaribio ya makombora yake - Korea Kaskazini - RFI