Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,171
Taarifa zilizotufikia Hivi punde ni kua japo Leo kulikua na maadhimisho makubwa ya kumbukumbu Za kuanzishwa kwa jeshi la Korea ya kaskazini hawajafanya jaribio lolote la silaha. Kama ilivozoeleka Wachambuzi wa masuala ya Kivita wamaeeleza kua ni hakika kua n Korea wameanza kuwa na hofu na marekani. Nawasilisha