Korea Kaskazini: Kombora jipya lina uwezo wa kubeba nyuklia

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
Korea Kaskazini imedai kwamba
kombora la masafara marefu ililolifanyia majaribio siku ya
Jumapili ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha
nyuklia.

Kombora hilo lili lorushwa lilienda
angani urefu wa kilomita 2,000 na
kusafiri kilomita 700 kabla ya kuanguka katika bahari Magharibi mwa Japan. Korea Kaskazini ilisema siku ya Jumatatu ni jaribio la uwezo wa kombora jipya. Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa
haliweza kuthibitisha madai hayo ya Korea Kaskazini. Lakini limesema kuwa kombora hilo lili onekana kuweza kuruka angani,
hatua ambayo ni muhimu katika utengenezaji wa makombora ya
masafa marefu kulingana na kituo cha
habari cha Yonhap. Majaribio ya mara kwa mara ya makobora ya masafa marefu yanayofanywa na taifa hilo yanakiuka
vikwazo vya Umoja wa Mataifa na yamesababisha wasiwasi miongoni
mwa jamii ya kimataifa pamoja na Marekani. Marekani na Japan zimetaka
kufanyika kwa mkutano wa dharura
katika baraza la usalama la Umoja wa
Mataifa siku ya Jumanne.

Source:bbc
 
C_1GGGSWAAAy_IB.jpg:small
 
Kiduku ni habari nyingine wewe!
Fikiria nchi iliyotengwa na dunia karibu yote, lakini wanafanya maendeleo makubwa sana bila kutegemea misaada ya nje!
Mi naona NK ndo wako huru!
 
Kitu inacho kitafuta NK ni kueshimiwa na kuwa Uhuru siyo kunyanyaswa na marekani kwa vitisho na vikwazo hadi vya chakula N Korea imetengwa kwa jeuri ya marekani go go NK
Yes, North korea wapike kazi.
 
Korea Kaskazini imedai kwamba
kombora la masafara marefu ililolifanyia majaribio siku ya
Jumapili ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha
nyuklia.

Kombora hilo lili lorushwa lilienda
angani urefu wa kilomita 2,000 na
kusafiri kilomita 700 kabla ya kuanguka katika bahari Magharibi mwa Japan. Korea Kaskazini ilisema siku ya Jumatatu ni jaribio la uwezo wa kombora jipya. Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa
haliweza kuthibitisha madai hayo ya Korea Kaskazini. Lakini limesema kuwa kombora hilo lili onekana kuweza kuruka angani,
hatua ambayo ni muhimu katika utengenezaji wa makombora ya
masafa marefu kulingana na kituo cha
habari cha Yonhap. Majaribio ya mara kwa mara ya makobora ya masafa marefu yanayofanywa na taifa hilo yanakiuka
vikwazo vya Umoja wa Mataifa na yamesababisha wasiwasi miongoni
mwa jamii ya kimataifa pamoja na Marekani. Marekani na Japan zimetaka
kufanyika kwa mkutano wa dharura
katika baraza la usalama la Umoja wa
Mataifa siku ya Jumanne.

Source:bbc
Alafu kiduku alivyokuwa muhuni, kaona kombora liko vizuri ndo kamwambia trump yuko tayari kuongea naye
 
Korea Kaskazini imedai kwamba
kombora la masafara marefu ililolifanyia majaribio siku ya
Jumapili ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha
nyuklia.

Kombora hilo lili lorushwa lilienda
angani urefu wa kilomita 2,000 na
kusafiri kilomita 700 kabla ya kuanguka katika bahari Magharibi mwa Japan. Korea Kaskazini ilisema siku ya Jumatatu ni jaribio la uwezo wa kombora jipya. Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa
haliweza kuthibitisha madai hayo ya Korea Kaskazini. Lakini limesema kuwa kombora hilo lili onekana kuweza kuruka angani,
hatua ambayo ni muhimu katika utengenezaji wa makombora ya
masafa marefu kulingana na kituo cha
habari cha Yonhap. Majaribio ya mara kwa mara ya makobora ya masafa marefu yanayofanywa na taifa hilo yanakiuka
vikwazo vya Umoja wa Mataifa na yamesababisha wasiwasi miongoni
mwa jamii ya kimataifa pamoja na Marekani. Marekani na Japan zimetaka
kufanyika kwa mkutano wa dharura
katika baraza la usalama la Umoja wa
Mataifa siku ya Jumanne.

Source:bbc
hvi NK wanahangaika nahivi vitu vya nini?
 
Back
Top Bottom