Korea Kaskazini inaaminika kumiliki silaha 1000 zenye uwezo tofauti

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
947
_95687445_north_korea_missile_ranges2_map624new.png

Korea kaskazini inaaminika kumiliki zaidi ya silaha 1000 zenye uwezo tofauti ikiwemo kombora la maasafa marefu ambalo linaweza kuishambulia Marekani.

Mpango wa Pyongyang umeendelea katika miongo kadhaa ya hivi karibuni kutoka mizinga mikubwa katika miaka ya tisini na sabini hadi makombora ya masafa mafupi mbali na yale ya masafa marefu katika miaka 80 na 90.

Mifumo ilio na uwezo mkubwa inadaiwa kufanyiwa utafiti.
Hivi karibuni, Korea Kaskazini ilitangaza kwamba inaunda makombora ya masafa marefu yanayoweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine ambayo yanaweza kushambulia mataifa ya magharibi.

Taifa la Korea Kaskazini linaaminika kutengeza kombora la masafa marefu zaidi ambalo wachunguzi wamelitaja kuwa KN-08 ama Hwasong-13.
_95687447_northkoreamissile3.jpg

Ishara za kwanza kuhusu utengenezaji huo ulifanyika Septemba 2016 ambapo taifa hilo lilifanyia majaribio mashine mpya ya roketi ambayo baadhi ya watu wanasema inaweza kurusha kombora kutoka bara moja hadi jingine.

Idara ya ulinzi nchini Marekani Pentagon inaamini kwamba Korea Kaskazini inamiliki makombora 6 aina ya KN-08, ambalo lina uwezo wa kufika hadi Marekani.

Korea kaskazini inaaminika kutengeza toleo jipya la kombora hilo linalojulikana kama KN-14.

Haahivyo makombora hayo hayajafanyiwa majaribio
Lakini mnamo mwezi Januari 2017, kulikuwa na ishara ya jaribio, muda mfupi baada ya kiongozi Kim Jong un kudai kwamba taifa hilo lilikuwa katika awamu ya mwisho ya kutengeza kombora la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine.

Mpango wa kisasa wa kutengeza makombora yaa Korea Kasakzini ulianza kwa kutengeza makombora ya scud ambapo yalipitia Misri mwaka 1976.

Kufikia 1984, taifa hilo lilikuwa likitengeza makombora yake kwa jina Hwasong.

Inaaminika kuwa na makombora tofauti tofauti ya masafa mafupi ambayo yanaweza kulenga taifa jirani la Korea Kusini.

Uhusiano kati ya mataifa hayo mawili ya Korea umeharibika na yamekuwa yakijiandaa kukabiliana kivita.

Kombora la Hwasong 5 na Hwasong 6 ambayo pia hujulikana kama Scud B na Scud C yana uwezo wa kwenda kilomita 300 na 500 mtawalia kulingana na kituo cha Marekani kinachofanya utafiti wa kuzuia kuenea kwa nuklia.

Makombora hayo yanaweza kubeba makombora ya kemikali na nyuklia.

Silaha hizo zimejaribiwa na kupelekwa katika maeneo yanayohitajika na kombora la Hwasong-6 limeuzwa nchini Iran.

_95687448_northkoreamissilerange4.gif

Korea Kaskazini ilianza mpango huo mapema miaka ya 80 kutengeza kombora la masafa ya kadri kwa jina Nodong likiwa na uwezo wa kusafiri urefu wa kilomita 1000.

Kombora hilo limetengezwa kwa muundo wa Scud ,lakini ni asilimia 50 kwa ukubwa na lina mashine yenye uwezo mkubwa.

Uchanganuzi wa mwezi Aprili 2016 wa taassii ya kimataifa kuhusu utafiti wa mikakati ,unasema kuwa makombora hayo yalithibtishwa yanaweza kupiga maeneo yote ya Korea Kusini na Japan.

Imeongezea kuwa maonyesho ya Oktoba 2010 yalithibitisha kuwa kombora hilo linaweza kufika urefu wa kilomita 1,600 ikimaanisha kwamba linaweza kupiga kambi kadhaa za Marekani zilizopo katika eneo la Okinawa.

Makombora hayo ya Nodong yanadaiwa kujaribiwa 2006, 2009, 2014 na 2016.

_95687450_northkoramusudan.jpg

Korea Kaskazni imekuwa ikitengeza makombora ya Musudan kwa miaka kadhaa, na hivi karibuni ilifanya majaribio 2016.

Makadirio yanatofautiana kuhusu viwango vyake, huku ujasusi wa Israel ukitaja uwezo wake kuwa kilomita 2,500 nacho kitengo cha ulinzi wa makombora nchini Marekani kikikadiria kuwa na uwezo wa kufika kilomita 3,200.

Duru nyengine zinasema kuwa kombora hilo lina uwezo wa kwenda kilomita 4,000.

Kombora la masafa mafupi la Musudan ambalo pia linajulikana kama Nodong B ama Taepodong-x linaweza kulishambulia taifa lote la Korea Kusini na Japan.

Kombora hilo linaweza kushambulia kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Guam.

_95693414_taepodongmissile.jpg

Kombora la masafa marefu la Taepodong linaloweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine

Korea Kaskazini inasema kuwa imefanyia majaribio kombora la masafa ya kadri, kwa jina Pukguksong, mnamo mwezi Agosti 2016 likirushwa kutoka kwa manuwari.

Kombora la pili lilirushwa kutoka ardhini mnamo mwezi Februari 2017.

Pyongyang ilisema kuwa ilitumia mafuta ,na kufanya kuwa rahisi kuliwasilisha na kurusha.

Hatahivyo maelezo kuhusu uwezo wake hayajulikani.
 
Propaganda za N Korea hizo

Kama ilivyokuwa kwa Iraq ya Saddam Hussein.

Alisema United States ikiingia Baghdad itakuwa mwisho wao. What happened? Only 21days Saddam was toppled

Watu wajifunze kitu.

Tawala za kidikteta ni dhalimu sana

Ukisema waachwe kwasababu amani itatoweka wakiondolewa, unajidanganja tu.

Tawala za kidikteta zikiachwa kushamiri zinazidi kuwa kandamizi na katili sana.
 
Mkuu usije danganywa na propaganda za kitoto na ukadanganyika!
North Korea ni Taifa duni kivita na kisilaha.
Silaha wanazoonyesha ni 3rd rate kulinganisha na za Marekani.
Hujui kuwa vyombo vya habari vya magharibi vinampa kichwa kuwa ana silaha nzito nzito ili wamdunde kama Saddam , waliposema ana silaha mbaya za WMD(weapons of mass destruction)

Upende usipende, ni Marekani tu yenye silaha mbaya Zaidi hapa duniani ikifuatiliwa na Urusi.
North Korea ni mtoto tu mkaidi mtaani, na jamaa wanatafuta njia ya kumuadabisha.
 
Don't underestimate a "madman" with a nuke.
Hakuna vita kati ya Marekani na DPRK.Marekani hawezi anzisha vita na adui mwenye nyuklia,na pengine hata hydrogen bomb.

Usiwaite Korea duni kivita,labda ungeongelea mambo mengine sababu serikali iko radhi wananchi wafe njaa lakini kutengeneza silaha na tafiti ziendelee kufanywa.

Utawala wa kiimla wa N Korea unapaswa kukemewa na yeyote anayefikiria mambo kwa werevu

Kim si kiongozi anayefaa kuungwa mkono
 
Don't underestimate a "madman" with a nuke.
Hakuna vita kati ya Marekani na DPRK.Marekani hawezi anzisha vita na adui mwenye nyuklia,na pengine hata hydrogen bomb.

Usiwaite Korea duni kivita,labda ungeongelea mambo mengine sababu serikali iko radhi wananchi wafe njaa lakini kutengeneza silaha na tafiti ziendelee kufanywa.
Mkuu huwaelewi watu wa west na psyche yao.
Japan iliingia vita ya WWII kwa mtindo huo, na wakadundwa vibaya.
N Korea is a sitting duck Nuclear force, one salvo will clear the whole issue., ingawaje nao wanauwezo wa kurusha nuclear bomb kufika South Korea na Japan.

Marekani hatuwasifii kwa mazuri.
Jana CNN, Jenerali mstaafu(Chief of Joint staff) na aliyekuwa mkuu wa CIA alikuwa akimlaumu D Trump kwa kuongea siri za Marekani hadharani, baada ya kusema Armada ya manowari zinaelekea Korea(kitu ambacho hakikuwa kweli anyway)
D Trump alienda mbali Zaidi kuwa nuclear submarines ziko dispatched kwenda Far East(kitu ambacho ni cha kweli) na hii ilitakiwa kuwa siri ya medani ya kivita.

Hiyo ndio alarm, marekani wana submarine mobile nuclear bombs aimed at N Korea.

Nuclear armed subs with multiple nuclear warheads zina uwezo wa kufanya uharibifu mkubwa katika peninsula yote ya Korea.

Kizungumkuti kilichopo ni kwamba ukirusha nuclear bomb madara yake hayaishii karinu.
Kwa sasa hivi baada ya upembuzi, pambano lolote litakalofanikiwa kuiangamaiza North Korea, si chini ya watu milioni moja wataangamia.
 
Propaganda za N Korea hizo

Kama ilivyokuwa kwa Iraq ya Saddam Hussein.

Alisema United States ikiingia Baghdad itakuwa mwisho wao. What happened? Only 21days Saddam was toppled

Watu wajifunze kitu.

Tawala za kidikteta ni dhalimu sana

Ukisema waachwe kwasababu amani itatoweka wakiondolewa, unajidanganja tu.

Tawala za kidikteta zikiachwa kushamiri zinazidi kuwa kandamizi na katili sana.
Report za NK zote ni za kutoka kwenye ujasusi wa US n Israel. Wao wapo kimya wala hakuna anayejua nini kinaendelea huko.kwao
Sadam yeye aliruhusu wamkague wakajua hana silaha za sumu zile ambazo hao US walimpa ili awamwagie Iran kwenye vita ya Iran n Iraq. Thats why waliweza kumpiga kirahisi.
 
Mkuu usije danganywa na propaganda za kitoto na ukadanganyika!
North Korea ni Taifa duni kivita na kisilaha.
Silaha wanazoonyesha ni 3rd rate kulinganisha na za Marekani.
Hujui kuwa vyombo vya habari vya magharibi vinampa kichwa kuwa ana silaha nzito nzito ili wamdunde kama Saddam , waliposema ana silaha mbaya za WMD(weapons of mass destruction)

Upende usipende, ni Marekani tu yenye silaha mbaya Zaidi hapa duniani ikifuatiliwa na Urusi.
North Korea ni mtoto tu mkaidi mtaani, na jamaa wanatafuta njia ya kumuadabisha.
Mbona waliweka mikono juu vietnam??
 
Report za NK zote ni za kutoka kwenye ujasusi wa US n Israel. Wao wapo kimya wala hakuna anayejua nini kinaendelea huko.kwao
Sadam yeye aliruhusu wamkague wakajua hana silaha za sumu zile ambazo hao US walimpa ili awamwagie Iran kwenye vita ya Iran n Iraq. Thats why waliweza kumpiga kirahisi.
Mbona waliweka mikono juu vietnam??
Mapigano ya Vietnam ilikuwa cha mtoto.
Marekani haikuwa na moral justification vita ile , na ndio maana wakajiondoa kwa aibu.

WWII, na Japan mpaka leo ni vita kali ambayo haina mfano kwa South Eat Asia.
Jisomee the Pacific Theatre na mapambano ya baharini, angani na nchi kavu , vita ambayo ilikuwa kama Vietnam 100.

Major campaigns in the theatre[edit]

Zifuatilie vita hizo ili ujipe undani kuwa vita ni zoezi la mapigano ya kiuchumi, mwenye resources nyingi ana shinda.
 
Report za NK zote ni za kutoka kwenye ujasusi wa US n Israel. Wao wapo kimya wala hakuna anayejua nini kinaendelea huko.kwao
Sadam yeye aliruhusu wamkague wakajua hana silaha za sumu zile ambazo hao US walimpa ili awamwagie Iran kwenye vita ya Iran n Iraq. Thats why waliweza kumpiga kirahisi.
N Korea ni moja ya nchi zinazotumia propaganda kutishia dunia

If it were not for propaganda the autocratic regime would have not been able to rule N Korea.

The government of N Korea maintains itself through crime and violence. You should know this.

Propaganda kazi yake kuinfluence public opinion. Taifa la Korea linaendeshwa kwa propaganda.

Kifupi kila nchi ina department of psychological warfare. Hapa ndipo propaganda zinapikwa.

Akisudanganye mtu United States is too way superior you not compare the great US with a tiny country of N Korea.
 
Hata haya unayoyasema wewe ni propaganda tu.
 
"Korea was ruled by Japan from 1910 until the closing days of World War II. In August 1945, the Soviet Union declared war on Japan, as a result of an agreement with the United States, and liberated Korea north of the 38th parallel. U.S. forces subsequently moved into the south. By 1948, as a product of the Cold War between the Soviet Union and the United States, Korea was split into two regions, with separate governments. Both governments claimed to be the legitimate government of all of Korea, and neither side accepted the border as permanent. The conflict escalated into open warfare when North Korean forces—supported by the Soviet Union and China—moved into the south on 25 June 1950. On that day, the United Nations Security Council recognized this North Korean act as invasion and called for an immediate ceasefire. On 27 June, the Security Council adopted S/RES/83: Complaint of aggression upon the Republic of Korea and decided the formation and dispatch of the UN Forces in Korea. Twenty-one countries of the United Nations eventually contributed to the UN force, with the United States providing 88% of the UN's military personnel.

After the first two months of war, South Korean forces were on the point of defeat, forced back to the Pusan Perimeter. In September 1950, an amphibious UN counter-offensive was launched at Inchon, and cut off many North Korean troops. Those who escaped envelopment and capture were rapidly forced back north all the way to the border with China at the Yalu River, or into the mountainous interior. At this point, in October 1950, Chinese forces crossed the Yalu and entered the war. Chinese intervention triggered a retreat of UN forces which continued until mid-1951.

After these reversals of fortune, which saw Seoul change hands four times, the last two years of fighting became a war of attrition, with the front line close to the 38th parallel. The war in the air, however, was never a stalemate. North Korea was subject to a massive bombing campaign. Jet fighters confronted each other in air-to-air combat for the first time in history, and Soviet pilots covertly flew in defense of their communist allies.

The fighting ended on 27 July 1953, when an armistice was signed. The agreement created the Korean Demilitarized Zone to separate North and South Korea, and allowed the return of prisoners. However, no peace treaty has been signed, and the two Koreas are technically still at war. Periodic clashes, many of which are deadly, continue to the present."

Nadhani hapo kuna jambo lenye maslahi mapana na wakubwa kibiashara haya shime tuendelee na ushabiki! (kwanini USA haikuendelea kuwafurusha wavamizi mpaka mwisho na kuiunganisha Korea iwe moja?) Bado mtindo ni uleule devide and rule mataifa makubwa wataendelea kugawana mifupa mpaka mwisho wa siku!!
 
Mapigano ya Vietnam ilikuwa cha mtoto.
Marekani haikuwa na moral justification vita ile , na ndio maana wakajiondoa kwa aibu.

WWII, na Japan mpaka leo ni vita kali ambayo haina mfano kwa South Eat Asia.
Jisomee the Pacific Theatre na mapambano ya baharini, angani na nchi kavu , vita ambayo ilikuwa kama Vietnam 100.

Major campaigns in the theatre[edit]

Zifuatilie vita hizo ili ujipe undani kuwa vita ni zoezi la mapigano ya kiuchumi, mwenye resources nyingi ana shinda.
Wale waasi (Frelimo) waliposhinda vita Msumbiji wakitokea Tanzania tulikuwa na Resources kuliko Wareno na SA? Hapo sitozitaja ZANU wala ZAPU....
 
Propaganda za N Korea hizo

Kama ilivyokuwa kwa Iraq ya Saddam Hussein.

Alisema United States ikiingia Baghdad itakuwa mwisho wao. What happened? Only 21days Saddam was toppled

Watu wajifunze kitu.

Tawala za kidikteta ni dhalimu sana

Ukisema waachwe kwasababu amani itatoweka wakiondolewa, unajidanganja tu.

Tawala za kidikteta zikiachwa kushamiri zinazidi kuwa kandamizi na katili sana.
Watu wangapi wameikimbia NK na kwenda uhamishoni....zaidi ya vibaraka wa magharibi?????

Back
Top Bottom