Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 505
- 582
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.
Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .
Kwa uandishi huu na kiwango hiki cha degree bora hata huo ubunge wapewe STD IV B.