S Sir Future Member Joined Dec 30, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Jul 23, 2014 #1 kwa anayejua kuusu kutoka kwa majina ya hizo nafasi. Mana haijulikan lin yatatoka, yametoka wakaguzi wasaidizi tu wa uhamiaji. Naomba tujuzane kwa anayejua tafadhari.
kwa anayejua kuusu kutoka kwa majina ya hizo nafasi. Mana haijulikan lin yatatoka, yametoka wakaguzi wasaidizi tu wa uhamiaji. Naomba tujuzane kwa anayejua tafadhari.
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jul 23, 2014 #2 Naskia yametoka naskkia
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jul 23, 2014 #3 Mtanzania ya leo majina yapo