uti ni maambukizi ya njia ya mkojo (urinary tract infection)...sa inahusiana vipi na koo?! Maelezo yako yanarandana kabisa na 'allergy'. Kuna kitu kwenye hewa (perfume, mafuta, sabuni, vumbi, pollen, etc) ambacho una allergy nacho, unapokivuta kwenye hewa basi airway inareact na kukusababishia huo muwasho, chafya, mafua etc.
Antibiotics haziwezi kukusaidi katika tatizo lako, kwa sababu huna bacterial infection...labda unaweza pata bacterial infection days baada ya hiyo reaction. Sikushauri uendelee kutumia antibitics.
Nenda hospitali kafanye 'allergy test', itakupa idea vitu gani unareact navyo..kisha uviepuke. Na unapopata reaction unahitaji dawa za jamii ya 'anti-histamine' ambazo zenyewe husimamisha hiyo reaction. Nenda kwa daktari kwa ajili ya alergy test na ushauri zaidi.