sura ngumu hadi picha inatokea na kama ukungu..
Looo jamaa sura chachu kama kalamba ndimu
Ahahaha usimfiche mkuu mwambie tunaishi pamoja ila nyumba tofauti
kuna maandishi mengine ukiunganisha na jina unapata mfadhaiko....
Mbona sura ya mwanaume kamili.Sasa huyo na yule sijui waziri sijui wa nini na yeye nani mzuri?[/QU
Mkuu uzuri unatofautiana mimi ukiniuliza nitakujibu wote hapana yaani Big No