Kontena La 40ft Linauzwa Ununio

Pohjois Haaga

Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
47
Reaction score
16
Wadau muhitaji wa Kontena la futi 40 liko Ununio karibu na shule ya sekondari ya Kiislamu (Ununio Islamic High School) ni High Cube na documents zote ziko vizuri. Bei million 4 (4M) na maongezi. Muhitaji ni PM tuongee Zaidi.

Shukuran
 
Linatumika sasa hivi kwa ajili ya nini hasa? Ama liko tu, hali yake tafadhali na ikiwezekana na picha kidogo
 
Wadau muhitaji wa Kontena la futi 40 liko Ununio karibu na shule ya sekondari ya Kiislamu (Ununio Islamic High School) ni High Cube na documents zote ziko vizuri. Bei million 4 (4M) na maongezi. Muhitaji ni PM tuongee Zaidi.

Shukuran
Weka picha mkuu tuone hali yake tunaweza kufanya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…