Kongwa vs Hai ,wapi kuna maendeleo?

Kwanza asingekuwa Mwendazake kumtetea jimboni kwake nakumbuka (kama sikusahau) wananchi waliwahi kumkataa mbele yake! Na ili kuokoa jahazi nadhahani ni mmoja wa Wabunge waliopita bila kupingwa.
Bila kutumia viboko vya kupiga wapinzani wake wananchi wa kule jimboni kwake nadhani walimkataa tangu zamani.
 
Mkuu, viwavi jeshi vinaliwa?
Shangaa na wewe ya jimboni kwa Ndugai! Walikula viwavi jeshi kama hawana akili nzuri! Halafubyeye mwenyewe akafanya siri lakini wananchi wakamwumbua!
 
Hapa Boma sisi tuna Alkasusu bora zaidi kanda ya kaskazini! Tuendelee kutaja moja moja!
 
Hii hoja inanikumbusha zile Cinema za Cowboy miaka ya 60's...Farasi Mweupe na Farasi Mweusi yupi anakimbia zaidi...au ukiitwa Farasi ulikuwa huchukii lakini ole wake akuite Punda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…