@Kongosho (BADRA MASOUD) vs @Bishanga (IBRAHIMU TANESCO)

Hapana niko na wake zangu cacico na Yummy tunaenda hospitali kumcheki BADILI TABIA. Anatarajia kujifungua leo jioni.

attachment.php
kweli thamani ya KONDOO ni mkia wake...na nyumba bila choo haijakamilika...
 
Mpelelezi wa tukio atakuwa OC-CID Nyani Ngabu:
Mahojiano:
Nn: Mtuhumiwa haki zako unazijua?
Bilionea bishanga: siongei chochote mpaka wakili wangu kloro awepo
Nn: sasa mbona unaongea?
Kongosho: unaulizwa na afande,mbona unaongea
Bilionea bishanga: hivi we mwanamke una nini na mimi mbona unanifuatafuata?
Nn: kwani mnafahamiana?
Bilionea bishanga: tangu utotoni,nilisoma naye uhuru mchanganyiko,kisha akaenda kisutu mi tambaza baadae tukakutana UDSM.
Nn: ya kweli konnie?
kongosho: afande, si hilo tu,hata bikra alintoa bishanga
NN: he?
Bilionea bishanga: unashangaa nini? Hata mkeo nilimuanza mie
Wacha valangati lifumuke,meza huko,viti huko,crown huko,ofisi nyanga nyanga.

Nimecheka mbaya!Alafu niko semina mkoa!Wawezeshaji wanadhani nawacheka wao!!Sijui posho watanipa maana mmoja kanikata jicho mbaya!Bishanga igizo limeishaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bishanga utaacha lini kuta bangi kabla ya msosi??

Badra: Eti wee ni mwizi
Mwizi: Ndio ni mwizi
Badra: Ujue ntakupeleka gerezani?
Mwizi: Napenda sana huko gerezani.
Badra: Twende mahakamani
Mwizi: Ngoja nichukue pesa ya kulipia mahakama
Badra: Leo mahakama ya wapi? Pale pale Namnani?
Mwizi: Leo nakupeleka ya kimataifa(serena)
Badra: Pingu(ndom) tatu zitatosha??
Mwizi: Labda ziwe sita
Badra: Hivi umeme wako unakonektia kutoka grid gani vile?
Mwizi: Grid kuu ya upande wa mbele
Badra: Tutafute mashahidi
Mwizi: Shadihi mkuu ni mhudumu wa mahaka atakayetupa ufunguo.

Back
Top Bottom