M mNaz Senior Member Joined Sep 27, 2011 Posts 104 Reaction score 31 Mar 21, 2014 #1 Kiongozi habari!!! Pamoja na salamu kutoka kwangu napenda kukujulisha kuwa Kongamano la vyuo vikuu la tarehe 23/03/2014(jumapili hii) limehairishwa mpaka tutapotoa taarifa. Barua ya maelezo ya kina inafuata. Nikutakie asubuhi njema.
Kiongozi habari!!! Pamoja na salamu kutoka kwangu napenda kukujulisha kuwa Kongamano la vyuo vikuu la tarehe 23/03/2014(jumapili hii) limehairishwa mpaka tutapotoa taarifa. Barua ya maelezo ya kina inafuata. Nikutakie asubuhi njema.
KAKADO JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 230 Reaction score 336 Mar 21, 2014 #2 Tulisha jiandaa sana bt nadhan kubanwa kwa mh rais ndio chanzo. tunaamin mambo yatakaa vzuri tu..
L LAELA BOY Senior Member Joined Oct 19, 2013 Posts 149 Reaction score 24 Mar 21, 2014 #3 Wajinga nyie! Msomi wa chuo kikuu unanunuliwa kwa wali? Wapuuuzi wote nyie.