Heshima kwenu Ndg wana jf!napenda kuwajulisha vijana wote waliopo dodoma kwamba kutakuwa na kongamano la vijana litakalofanyikia chuo cha mipango kilichopo eneo la miyuji.litahuhusu CHANGAMOTO YA AJIRA KWA VIJANA!
Litahudhuriwa na kuchangiwa na wabunge J.Nassari,E.Wenje,D.Silinde,D.Kafulila,H.Kigwangala,E.Maige na wengineo!jongeeni wote pale ili kupeana michango na shauri mbalimbali.MODE NAOMBA UIACHE HEWANI ILI WENGI WAWEZE KUPATA TAARIFA
Source;mimi mwnywe nitakuwepo kwa ajili hiyo