Kongamano la Katiba Mpya lafanyika Mkoani Shinyanga, Lafana

Ni lini mambo yatakuwa hadharani ,mpo katika aina ya vita kwa hili itakuwa vita vya msituni tunasubiri vya nyumba kwa nyumba ikiisha ni ile ya open ground.
 
Leo tarehe 2 octoba 2021 Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kumefanyika kongamano la Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya uchaguzi, kongamano hilo kama ilivyo ada limeandaliwa na ile Taasisi Kabambe ya vijana barani Africa iitwayo BAVICHA .

Kishindo chake hiki hapa , jionee mwenyewe .

View attachment 1960375
Tuone na picha za wajumbe sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom