Kongamano la Katiba Mpya lafanyika Mkoani Shinyanga, Lafana

Leo tarehe 2 octoba 2021 Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga , kumefanyika kongamano la Katiba Mpya pamoja na Tume Huru ya uchaguzi , kongamano hilo kama ilivyo ada limeandaliwa na ile Taasisi Kabambe ya vijana barani africa iitwayo BAVICHA .

Kishindo chake hiki hapa , jionee mwenyewe .

View attachment 1960375
Jana pambalu alikuwa morogoro msamvu
 
Naambiwa ngumi zimerindima huko
200 (3).gif

😂😂🤣 Tunawacheki tu mumiani maccm hahaa!!
 
Ila wenzetu CDM mna raha kweli pamoja na magumu mnayopitia mnapendana sana mnasaidiana sana,sisi huku kwetu Lumumba ni vita ndani kwa ndani.
Cdm ina watu wa mfano. Hata katika maisha yao ya kawaida ni Winners. Fatilia popote ulipo utanipa majibu.
 
BAK inaonekana ukishindwa hoja unakuja na matusi kama mtu mwenye stress hivi mbona nimecheka hakuna hata comment mmoja aliyo kutukana ila wewe mwanzo mwisho ni kuwatukana wazazi wake
 
nani kaanza kutoa matusi. Kushindwa nani ni referee aliyeamua kuwa BAK kashindwa? Acha ujinga. Ukinitusi narudisha mapigo.

BAK inaonekana ukishindwa hoja unakuja na matusi kama mtu mwenye stress hivi mbona nimecheka hakuna hata comment mmoja aliyo kutukana ila wewe mwanzo mwisho ni kuwatukana wazazi wake
 
Kwa kweli CDM mna kila dalili kuja kuwa Chama tawala,hazina ya vijana wenye maono lakini wamama pia wako vizuri sana,sisi huku kwetu kina Kihongosi sijui wanatupeleka wapi,tunazikimbiza teuzi hakuna mfano yaani tuna amini hakuna maisha bila uteuzi.
 
Na kwa taarifa yako siandiki humu ili kutafuta ushindi bali kuhusu yale yanayonikera na kuwakera Watanzania wengi sana katika nchi yenye utajiri mkubwa sana mikopo na misaada ya trillions kwa miaka chungu nzima lakini hatuna chochote kile cha KUJIVUNIA baada ya miaka 60 ya uhuru.

BAK inaonekana ukishindwa hoja unakuja na matusi kama mtu mwenye stress hivi mbona nimecheka hakuna hata comment mmoja aliyo kutukana ila wewe mwanzo mwisho ni kuwatukana wazazi wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom