Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

acha kumhukumu coz hata slaa hayupo

Just asking, nimemmiss kwenye harakati kama hizi! Mbona mnamjibia sana! Au mnaogopa kuambiwa mwamuonea wivu?

Never mind, CDM ina watu makini kuliko Zitto! We can do without him.
 

hili wala sio jambo la kuficha.Hata humu tulipo wapo baadhi ya wanafunzi ambao ni CCM na wamekuja kujua kunani.Hatujaanza jana kudeal na vyuo vikuu kila chama kinatambua hili.Usiogope
 
zitto anaonekana kukwepa sana mihadhara ya wazi ya ki chama...hivi yupo wapi huyo this time? this is serious busness now dada Regia
 

Mkuu hiyo inaitwa transparency. Katiba mpya si agenda ya ccm wamedandia unaonaje upepo unavyovuma? Siku zote ujiangalie wewe kwanza ukifanya ukiangalia wapinzani hutafanya kitu.

No one will succeed against a genuine intent quote me
 
hili wala sio jambo la kuficha.Hata humu tulipo wapo baadhi ya wanafunzi ambao ni CCM na wamekuja kujua kunani.Hatujaanza jana kudeal na vyuo vikuu kila chama kinatambua hili.Usiogope

Mhemishimiwa mstahiki mbunge that is the spirit another big up (see post 46 on the same thread)
 

it sounds very bold and constructive forum for the the next generation
 
Una amanisha nini kusema Live! Inarusha na kituo cha TV? Au Radio?

Mlengokati, live haimaanishi tukio kuwa kwenye TV au redioni!!! LOL.... Live ni kushuhudia tukio linatokea, mfano ukiwa pembeni mwa barabara na ajali ikatokea na ukaiona basi utakuwa umeioa live, sasa wakati tukio linaendelea unaweza kuwashirikisha rafiki zako kwa simu au video message na wao sasa watasikiliza au kuliona hilo tukio live. Hapo vipi?? LOL
 
Mada ya Kuu ya kwanza imeisha na hivi sasa ni wakati wa majadiliano.Aisee Vijana wanatoa hoja nzito nzito.Hamasa ni kubwa sana hapa.
 
Big Up Mh. Tueleze, mimi sipo huko msisahau mikakati ya Redio na TV.:tape:
 
Mada ya Kuu ya kwanza imeisha na hivi sasa ni wakati wa majadiliano.Aisee Vijana wanatoa hoja nzito nzito.Hamasa ni kubwa sana hapa.
Aaaa dada Regia....unanipandisha stimu mwenzio!....utanifanya nipande ndege sasahivi ili nije
 
Dada wakumbushe kwamba sasahivi duniani ni vijana ndio wanaleta mabadiliko. Kwamwe wasidharau nafasi yao katika TAIFA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…