Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Akhsante dada Regia na safu nzima kwa harakati zenu tuko pamoja.Kama hutojali tujuze safu nzima ya wabunge wa CHADEMA waliopo kwenye mkutano huo.Thanks
Akhsante dada Regia na safu nzima kwa harakati zenu tuko pamoja.Kama hutojali tujuze safu nzima ya wabunge wa CHADEMA waliopo kwenye mkutano huo.Thanks
Yuko anaokoa jahazi kuleeeee lisizame, maana M/Kiti wa CCM jana kasema CC haimsaidii nasisi tukijuvua gamba sijui tutaanza na nani guess.Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?
Mbowe anasema kinachoendelea Dodoama sasa ni mipango ya MUNGU.Anasema wakati Kamati Kuu ya CCM inavunjika CHADEMA inafanya Kongamano na Wasomi.Amesema kuwa pamoja na CCM kujivua gamba lakini ni kazi bure kwani CCM wana Kansa na tayari iko ndani ya damu na akasema hii ni fursa kwa CHADEMA.
Where iz Zitto, udhuru gani zis taimu?