THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Rushwa ni adui wa haki sitakubali kutoa wala kupokea rushwa.Anasema turudi kwenye imani ya mwana Tanu.
1) Binadamu wote ni sawa
Matabaka ya wakulima na wafanyakazi ndio msingi wa maendeleo, sio wawekezaji, HAPANA, na maendeleo yawe kwa ajili ya wao kwa manufaa yao, so development is for them and for their development. Chama chenye itikadi ya kijamaa kiwe chama cha wakulima na wafanyakazi hivyo wanachama wake wawe wakulima na wafanyakazi na viongozi wake wawe wakulima na wafanyakazi. My Take: wafanyabiashara hawaingii katika chama cha kijamaa
Rushwa ni adui wa haki sitakubali kutoa wala kupokea rushwa.
Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.(GONE WERE THOSE DAYS)
Sasa hawa mabepari wameingiaje CCM?:frusty:
Nilikuwa nimesaanza kutoa up date kwenye ile thread ya kongamano na katiba njoo kule utaona up date nimepost, nimemuomba mod waunganishe thread naona wamechelewa kuona ombi langunini kinaongelewa?