Kondomu zaadimika mitaani,tatizo nini?

Uliwatuma vijana wako au ulifuatilia mwenyewe mkuu
 
Vya bure mmekosa na mtu mzima akitaka kukufukuza hakuambii toka ila utaonyeshwa njia tu
Kama huwezi acha uzinzi okota mifuko ya plastic inayoharibu mazingira halafu nunua na glue tengeneza zako
Hicho kitakuwa kiwanda tosha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ngoja wazinzi wenzio wanakuja watakuambia tatizo liko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga huwa akipewa hoja huwa anajibu kama unavyojibu wewe bila kufikiri madhara yake! Waziri wa Afya alishawahi kukana hili hata mimi nishawahi kulifanyia kazi hili sakata (nami sijui utaniita mzinzi) lakini ni kweli Condoms hakuna zimeadimika
 
Watumiaji wa condom ni wachache sana, na isitoshe wanawake hawazipendi kabisa zinawakata stimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi wapi ndugu mpaka dawa ya mapenzi isiwepo? mbona watu wanaendelea kutoa huduma na zana zinapatikana kwa wingi tu? au unazungumzia aina ya Condom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheap condoms ndio adimu ..zimebaki branded condoms ambazo affordability kwa vijana wangi ni tatizo..Nadhani ni process ndefu ya kuziingiza nchini ndio tatizo
Nadhani alimaanisha hivi sema kashindwa kuweka vzr habari yake! Condom zipo tu watu wanapiga mechi bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ungeenda mwenyewe mkuu! 😛
 
Tatizo kujidai donor country wakati kutengeneza hata tu kununua kondomu washamba na malimbukeni hawawezi.
 
Hivi kwa ukata huu bado una hamu ya kufanya hayo mambo ndugu? Baki njia kuu..michepuko ndo mnasababisha jua liwake hivi. Wale wahisani wamesusa kuwaletea.,mzaane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo ni kuwatunishia kifua wenye nazo
 
mkuu kweli nauza dukani huwa nanunuaga manzese tiptop maduka ya jumla last week nimetafta balaa hakuna kabisahii bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa ila kwenye ARV kukatwa hakuna kitu kama hicho!
 
Mkuu umeongea point sana.. Yani ndomu zimehadimika balaa.. Zimebaki za buku 2 kuendeleee... Vijana wengi hawawezi kuzimuduu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Hali sio nzuri kabisaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ninazo tunaweza kuokoana
 
Huko kwenu nyama bado mnafunga kwenye Foil?
 
Wizara ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na mamlaka zinazohusika mnaweza kutuambia shida ipo wapi mpaka kondom zimeadimika mitaani?

Kila duka la dawa ukiingia unaambiwa kondom zimeisha, ni mwezi wa pili huu sasa kumekuwa na hii changamoto. Mnataka na sisi watumia kondom tuombe kikao na raisi ndio mtukumbuke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…