Tangu 2014 uko JF. Kweli hujui kutenganisha majukwaa yanahusu nini? Unatafuta kondomu jukwaa la siasa?!!Nimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee una hatariii sanaa..Nina miezi kama sita najipigia kavukavu
Maombi yenu jamani
Cheap condoms ndio adimu ..zimebaki branded condoms ambazo affordability kwa vijana wangi ni tatizo..Nadhani ni process ndefu ya kuziingiza nchini ndio tatizoNimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.
alitaka ujumbe umfike rais moja kwa mojaTangu 2014 uko JF. Kweli hujui kutenganisha majukwaa yanahusu nini? Unatafuta kondomu jukwaa la siasa?!!
Kuna tatizo ktk maisha yetu.
Watamwambia pia zinapatikanaje na aende TACAIDS atapewa majibu mazuri
Waagizaji waliona wazinzi hawazitumii wanakaa nazo muda mrefu wakaamua kuacha kuagiza. Sasa zitakuja kwa order awahi akajiandikishe.
Ndo maana kazi ya Urais inahitaji uvumilivu. Huyu akitafutiwa kondom, atamsifu rais kwa maendeleo na maisha bora.alitaka ujumbe umfike rais moja kwa moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waagizaji waliona wazinzi hawazitumii wanakaa nazo muda mrefu wakaamua kuacha kuagiza. Sasa zitakuja kwa order awahi akajiandikishe.
HahahaWatamwambia pia zinapatikanaje na aende TACAIDS atapewa majibu mazuri
Hivi hatuwezi kuwa na kiwanda cha kutengeneza condom mpaka mabeberu waweke mkono wao?Kondomu zenyewe kwa hisani ya mabeberu ujue hilo.
Sasa ndugu yangu nitafanyeje na mzigo madukani haupatikani? Kupiga nyeto siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee una hatariii sanaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
wanasiasa ndio wamesababisha kondomu kupoteaTangu 2014 uko JF. Kweli hujui kutenganisha majukwaa yanahusu nini? Unatafuta kondomu jukwaa la siasa?!!
Kuna tatizo ktk maisha yetu.
US AID imeacha kuhudumia Tanzania kwenye eneo hilo kutokana na hujuma za wazi za uzazi wa Mpango zinazofanywa na Serikali ( fyatueni elimu ni bure ) , ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu , ukatiri na uminywaji wa demokrasia ni sababu nyingine zilizochangia wazungu kujitoa , kuna taarifa kwamba kinachofuatia ni ARVS
nasubiri beberu marekani liache kutoa msaada wa dawa za ukimwi na kifua kikuu na mathedon nioe nini kitatokea