Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 567
Hujakosea Nafurahishwa sana na Kuona Zana zikitumika ila pia macho huzunguka kuangalia Wadada Warembo kisha huwa nawapa rates kichwani. Ila nikiona mrebo zaidi najaribu kete yangu. 😉Saikolojia ya macho kuprosesi kile unachoona inasema, mara nyingi mtu huona kile anachopendelea zaidi kuona. Kwa mfano, unaweza kupita sehemu, usione mambo mengi zaidi ya nyumba nzuri na wanawake wanarembo. Ukiambiwa kulikuwa na nyumba mbovu na wanaume unakataa kwasababu haukuwaona/haukuviona
Hiyo itakuwa bao la chap Chap nyuma ya ukuta kwa chochoro halafu ukasikia mtu anakuja dadeki zake!naona nyngne inamwaga wazungu