Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,261 Jan 18, 2010 #21 GUYANA HALIMA said: ki ukweli condom zinaumiza!! unakuwa unahisi kama liplastic flani linakusugua sugua ndani!! alafu condom zinawashaa,ukiwashwa washwa kifuatacho ni fungas!!! na huko kuwasha huwezi kukusikia kipindi cha.....! ni later unahisi kuwashwa fulani! Click to expand... unapenda sana nyama kwa nyama wewe
GUYANA HALIMA said: ki ukweli condom zinaumiza!! unakuwa unahisi kama liplastic flani linakusugua sugua ndani!! alafu condom zinawashaa,ukiwashwa washwa kifuatacho ni fungas!!! na huko kuwasha huwezi kukusikia kipindi cha.....! ni later unahisi kuwashwa fulani! Click to expand... unapenda sana nyama kwa nyama wewe
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Jan 18, 2010 Thread starter #22 Laligeni said: ..Good! Tena nimekugongea kiduchu kule...you are good upstairs mazee!! Click to expand... Nami nmekurudishia, nadhani umenotisi pia
Laligeni said: ..Good! Tena nimekugongea kiduchu kule...you are good upstairs mazee!! Click to expand... Nami nmekurudishia, nadhani umenotisi pia
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,775 Reaction score 37,962 Jan 19, 2010 #23 Usipeleke mada hii kijijini watatukaana daima awajui kitu kama hiki na ukimwi aupo wanaishije??
Mwenda_Pole JF-Expert Member Joined Jul 5, 2008 Posts 281 Reaction score 67 Jan 19, 2010 #24 Kwetunikwetu said: duh ebana eeeeh.....! demu wa 'kiwanja' hivi hivi bila kitu Click to expand... Kiwanja bila shaka anamaanisha nje ya nchi na sio club...teh teh teh just trying to think
Kwetunikwetu said: duh ebana eeeeh.....! demu wa 'kiwanja' hivi hivi bila kitu Click to expand... Kiwanja bila shaka anamaanisha nje ya nchi na sio club...teh teh teh just trying to think
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 19, 2010 #25 Mhhh
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,332 Jan 19, 2010 #26 Waambie wajaribu kutumia condom za kike, lakini lile zoezi tu la "kuivaa" tu condom ya kike ni zoezi la aina yake.
Waambie wajaribu kutumia condom za kike, lakini lile zoezi tu la "kuivaa" tu condom ya kike ni zoezi la aina yake.