Konda na wanafunzi

Ston Merchant

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
393
Reaction score
105
Usiku mmoja konda alikua kalala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu..!, Konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha......
 
Usiku mmoja konda
alikua kalala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi
ile anafunua neti tu..!, Konda akamzuia na kumwambia wanafunzi
wanatosha......

Konda noma sana huyo!
 
Usiku mmoja konda alikua kalala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu..!, Konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha......

Kwa hiyo kumbe makonda huwa wanalala wananuizia madent tu usiku mzima! lol
 
alikuwa anaota yuko kwenye gari huyo
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Mbalizi Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…