Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,212 Reaction score 16,915 May 22, 2017 #1 Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Gwajima: naona Bashite kaliamsha dudee sasa tukutane jumapili ijayo kanisa la ufufuo na uzima wazee wa popcorn mnichukulie na mimi nitawawekea siti [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,170 Reaction score 2,335 May 22, 2017 #2 Usirudie tena kuweka Uzi wa mtu muhimu kwenye jukwaa la pumba
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,212 Reaction score 16,915 May 22, 2017 Thread starter #3 gungele said: Usirudie tena kuweka Uzi wa mtu muhimu kwenye jukwaa la pumba Click to expand... we kama nani??
gungele said: Usirudie tena kuweka Uzi wa mtu muhimu kwenye jukwaa la pumba Click to expand... we kama nani??
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,984 May 22, 2017 #4 Amface yule wa south kabla ya Makonda
Jof3 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 663 Reaction score 324 May 22, 2017 #5 gungele said: Usirudie tena kuweka Uzi wa mtu muhimu kwenye jukwaa la pumba Click to expand... Jukwaa la pumba ndio mahala pake
gungele said: Usirudie tena kuweka Uzi wa mtu muhimu kwenye jukwaa la pumba Click to expand... Jukwaa la pumba ndio mahala pake
Ivan mapalala JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 285 Reaction score 103 May 22, 2017 #6 Mmmmh mbona hatareee
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 23, 2017 #7 Loading please wait....
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 May 23, 2017 #8 Dah wanaomuona gwajima MTU muhim nashindwa kuelewa wanatumiaa nn kufikiria
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 May 23, 2017 #9 sajumo said: Dah wanaomuona gwajima MTU muhim nashindwa kuelewa wanatumiaa nn kufikiria Click to expand... Usijikute wewe ndio una...... kumukichwa!!!! Fanya vipimo vyote kama ct scan au anza mionzi kabisa maana shambulio lipo ndani ya kichwa.
sajumo said: Dah wanaomuona gwajima MTU muhim nashindwa kuelewa wanatumiaa nn kufikiria Click to expand... Usijikute wewe ndio una...... kumukichwa!!!! Fanya vipimo vyote kama ct scan au anza mionzi kabisa maana shambulio lipo ndani ya kichwa.
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 May 23, 2017 #10 Mh ndani ya kichwa na mionz tena dah we una hatar nahs no mmoja kati ya wafuas Wa gwajima
seph0408 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 1,180 Reaction score 703 May 24, 2017 #11 jogi said: Usijikute wewe ndio una...... kumukichwa!!!! Fanya vipimo vyote kama ct scan au anza mionzi kabisa maana shambulio lipo ndani ya kichwa. Click to expand... Aundiwe kamati
jogi said: Usijikute wewe ndio una...... kumukichwa!!!! Fanya vipimo vyote kama ct scan au anza mionzi kabisa maana shambulio lipo ndani ya kichwa. Click to expand... Aundiwe kamati