kompyuta yangu

kompyuta yangu

scot maccomik

Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
10
Reaction score
10
wakuu nimenunua kompyuta ya hp juz leo nimejaribu kuweka cd haisomi msaada jamani nifanyeje
 
Used au new brand?

Kama una lisit rudisha kwa mwenyewe maana kompyuta mpya ikianza kuchokonolewa this early itazaa magonjwa mengine!

Kama umenunua kwa mtu pole!
 
wakuu nimenunua kompyuta ya hp juz leo nimejaribu kuweka cd haisomi msaada jamani nifanyeje
Inawezekana mlango hausomi DVD na wewe ndio unayotumia,lakini pia mlango wenyewe unaweza kuwa mbovu.kama ulitest ukafanya kazi kabla na unasoma DVD then itakuwa issue nyingine
 
Back
Top Bottom