Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
Peleka kwa fundi mkuu, inawezekana tatizo ni feni (cooling system).hili tatizo la kopmyuta kuwa kama kuna vitu kwa ndani vinakwaruza ama kukoroma ni nini hasa? nilishasikia sijui ni RAM imechoka vile au nilisikia vibaya? na ufumbuzi wake ili isikorome tena ni nini enyi wataalam
hili tatizo la kopmyuta kuwa kama kuna vitu kwa ndani vinakwaruza ama kukoroma ni nini hasa? nilishasikia sijui ni RAM imechoka vile au nilisikia vibaya? na ufumbuzi wake ili isikorome tena ni nini enyi wataalam
Kukorma dawa ni Aor Blwing kama kukoroma chanzo chake ni feni
Otherwise mikoromo mingine chanzo chake inaweza kuwa ni cylinder plate iliyomo ndani ya HDD
Nadhni ni fan na HDD ndio vifaa vikuu vikuu viwili vinavyofanya rotation na vinaweza kutoa kelele na na si RAM.
So tafuta mtu mwenye air blower akusaidie
hebu nipe ufafanuzi zaidi hapa kwenye air blower mkuu. Au kama unamfahamu mtu nielekeze hapo
poa mkuu. pia naona hapa wakati inakoroma kuna kipicha cha cylinder hapa kwenye keyboard kinablink kuendana na kukoroma kwenyeweni mashine ya kupulizia vumbi ndani ya compyuta.inasaidia sana hiyo.
Asanteni wakuu kwa ushauri. Inafanya kaz kama kawaida sema ndo hivyo inakoroma, ila si kupitiliza. Ni laptop. Tena wakati inakoroma kuna kitaa kimekaa muundo wa betri nacho huwaka kulingana na kukoroma.
hili tatizo la kopmyuta kuwa kama kuna vitu kwa ndani vinakwaruza ama kukoroma ni nini hasa? nilishasikia sijui ni RAM imechoka vile au nilisikia vibaya? na ufumbuzi wake ili isikorome tena ni nini enyi wataalam