M Mdau1000 Member Joined Aug 21, 2024 Posts 18 Reaction score 13 Saturday at 5:57 PM #1 Tunaiomba serikali kukomesha mauaji yanayofanywa na wafuagaji katika wilaya ya Tunduru #Tunduru bila mauaji inawezekana Attachments 1792248749805.jpg 246.3 KB · Views: 2
Tunaiomba serikali kukomesha mauaji yanayofanywa na wafuagaji katika wilaya ya Tunduru #Tunduru bila mauaji inawezekana
G GO GETTER JF-Expert Member Joined Aug 4, 2024 Posts 463 Reaction score 1,074 Saturday at 6:00 PM #2 Wafugaji wameaua wakulima?, kwanini wauawe?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 122,299 Reaction score 201,342 Today at 12:58 AM #3 Na muhukuru pia wakulima wanauawa sanaa.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,479 Reaction score 74,463 Today at 1:02 AM #4 Duhh
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,484 Reaction score 43,472 Today at 6:17 AM #5 Wafugaji hawana tatizo,tatizo ni viongozi wa chama na serikali,mapolisi wanawasumbua mno wanawakamata wafugaji kuwasingizia kesi za uongo na kuwaomba rushwa sana. Imefikia mahali wafugaji nao wanachoka.
Wafugaji hawana tatizo,tatizo ni viongozi wa chama na serikali,mapolisi wanawasumbua mno wanawakamata wafugaji kuwasingizia kesi za uongo na kuwaomba rushwa sana. Imefikia mahali wafugaji nao wanachoka.