Kombora jingine la Korea Kaskazini lafeli majaribio - BBC Swahili

Lakini kombora la Marekani aina ya Minuteman lilifanikiwa, sikuwahi kusikia BBC au Dunia ikilahumu Amerika kwa kufanya majaribio ya makombora hatari ya nuclear!! Why pickon North Korea regime and not unpredictable TRUMP??
 
Hawa BBC nilishawadharau sana toka zile propoganda zao kwa vita ya IRAQ. Ona walivyodanganya na kumtia matatizoni Blair, kila siku kuhojiwa na kamati za bunge.
 
Unajua NK ni watu hafifu sana hata iwe vipi hawawawezi America. Kwanza teckolojia yao ni hafifu sana, wanadanganywa na china,rusia kwa kununua zana kwao hao watu wanakula tu pesa zao. NK hata wakisimama na SK hawawawezi, sema tu SK ni wapole na waaastarabu sana,lakin kwa zana wanazo kali kuliko NK
 
Kufeli sio kushindwa. Kuja vifaa vimefanyiwa majaribio zaidi ya miamoja vinafeli na jaribio la 101 ndipo kifaa kinakamilika

Sisi watanzania tumefanya jaribio gani? Heko kwa Korea kaskazini
Jaribio la kumteka Roma lilifanikiwa huku la Ben saa9 likifanikiwa zaid, chezea TZ ww.
 
Back
Top Bottom