Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,081
- 2,606
SIO MAUMIVU HUO NDIO UKWELI.Maumivu ni makubwa kuliko hata hao Monastir wenyewe.
Nimesoma yote ila umenifurahisha uliposema "AKIWAPIGIA MPIRA MKUBWA'' The rest umeandika CHOOSalaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna E.
Hizo zote ni hasira au makasiriko?Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mno.Maumivu ni makubwa kuliko hata hao Monastir wenyewe.
Nakupa fact wewe usiyejua mpira.Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Angepata wap muda huo? Wakati kakutana na wababe wenyeweSalaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya...
Msimu ule ulopita uliocheza huko Confederation kwa vilaza mpaka ukatolewa na Orlando Pirates kwa uchawi mwingi wa katikati ya uwanja, ilikuaje ukashindwa kubeba ubingwa mkuu? Au muda huo haikuwa ya vilaza imebadilika hapa katikati? [emoji1]Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu...
Mkate kidevu huyoNakupa fact wewe usiyejua mpira.
1) Kuna mechi ilichezwa Yanga vs Simba na Simba hakupiga hata on target moja vipi Simba ni dhaifu...
Tema mate chini.Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu...
MuhahoHizo zote ni hasira au makasiriko?
(1) Lete ushahidiNakupa fact wewe usiyejua mpira.
1) Kuna mechi ilichezwa Yanga vs Simba na Simba hakupiga hata on target moja vipi Simba ni dhaifu...