kivangaukali
Member
- Jan 8, 2016
- 72
- 26
Inasikitisha sana waandishi wa habari baada ya dhimba na yanga kutolewa hamasa imekwisha kumbe waandishi wetu wamejaa ujinga
dhimba!!! una kithembe weweInasikitisha sana waandishi wa habari baada ya dhimba na yanga kutolewa hamasa imekwisha kumbe waandishi wetu wamejaa ujinga
Hapo ni kabla vipi sasa baada ya mechi?URA ama Mtibwa