DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
MkuuHauleweki
Unaandika madudu,
Umekuja jukwaani kujidhalilisha tu
Mkuu umekula lakini au ukiwawazia Mazembe wanakupa changamoto ya akili?Hauleweki
Unaandika madudu,
Umekuja jukwaani kujidhalilisha tu
Namshangaa maana nimeuliza maswali simple tu kutaka kujua yeye kaamua kuja na visirani vyakeMkuu
Ni afya ya akili haipo vizuri au Kuna bifu na mtoa mada?
Nashukuru kwa taarifa. Sijasikia mechi zozote toka msimu umeanza.Huwa unafatilia kweli Mpira, mbona mechi zinachezwa ila kwenye zile Teams za madaraja ya Chini washaanza kukutana wapunguzane kwanza
Huyo ana shida ya akili, usibishane nayeMkuu
Ni afya ya akili haipo vizuri au Kuna bifu na mtoa mada?
Kuna maisha nje ya mpira. Yanga yenyewe siiangalii labda nikijua wanaenda kufungwa.Tatizo la mleta mada akili yake ipo Kwenye mechi za Simba na Yanga tu!,ila hafuatilii mpira!
Ratiba ishatoka Kitambo
Maisha ni Mpira na Mpira ni maisha mkuu!Kuna maisha nje ya mpira. Yanga yenyewe siiangalii labda nikijua wanaenda kufungwa.
Mpira unatuepusha na vitendo viovu ila muda wangu hauniruhusu kuangalia mechi ya Mbuni vs Mabatini. Majukumu bwashee.Maisha ni Mpira na Mpira ni maisha mkuu!
GUSA , ACHIA, TWENDE KWA MAKOLO
Ndo maana Huwa napenda kumpuuzaTatizo la mleta mada akili yake ipo Kwenye mechi za Simba na Yanga tu!,ila hafuatilii mpira!
Ratiba ishatoka Kitambo
Daah. Wahenga walikuwa na akili sana waliposema nyani haoni kundule.Ndo maana Huwa napenda kumpuuza
Shida yako muda mwingi unautumia kuiwazia Yanga tu. Na ndiyo maana huko kwingine hujui kinachoendelea. Ila kwa kukusaidia; ni kwamba mashindano yapo! Na yanaendelea.Wakati tumeingia duru la pili la msimu wa NBC mpaka sasa sijasikia mechi zozote zikipangwa au kuchezwa za FA Cup.
Ni kwamba msimu huu kombe halipo au kuna changamoto? Kama wana uhaba wa pesa au CRDB wanazingua waniambie tajiri niongeze mzigo. Msimu huu Simba hatutaki kuacha kitu mezani.
NYONGEZA (HAIHUSIANI NA MADA): Zamani mwenyeji wa mashindano huwa hachezi mechi za kufuzu, siku hizi mashindano mengi ya CAF kama AFCON, hadi mwenyeji anacheza mechi za kufuzu, ina maana mwenyeji anaweza asifuzu mashindano yanayofanyika katika nchi yake mwenyewe?
Ningekuwa naiwazia Yanga kama mnavyodhani basi ningekuwa naangalia hata mechi zake.Shida yako muda mwingi unautumia kuiwazia Yanga tu. Na ndiyo maana huko kwingine hujui kinachoendelea. Ila kwa kukusaidia; ni kwamba mashindano yapo! Na yanaendelea.
Na mpaka sasa timu zimeshapatikana 64, huku moja ya timu ya ligi kuu (Ken Gold) ikiwa imeshatolewa na timu ya ligi daraja la tatu.
OKWI BOBAN SUNZU tangu lini umekuwa platinum member?Huyo ana shida ya akili, usibishane naye