hays ndugu zangu mliokuwa kwenye mtandao sasa ingia kwenye website ifuatayo kuangalia mpira...have been searching for past 45 minutes and atlast nimefanikiwa...
safari hii asituchanganye kabisa...hivi kumfukuza wanaogopa nini?mi ntaanzisha kampeni ya kuzomea Taifa starz mpaka aondoke..sijui wakija akina Drogba itakuwaje maana tunaweza bugizwa magoli mpaka basi...
kipa eti anacheza soka la kulipwa msumbiji..si wangesema tu anacheza soka Namtumbo...hahaaaaaa ...kaseja akishangilia wanamlaumu,sasa magoli kama hayo kwa nini mtu asicheke na kushangilia