M MRAWA New Member Joined Oct 30, 2008 Posts 1 Reaction score 0 Dec 10, 2009 #301 mpira unaanza saa 11 unaoneshwa kbc kwa wale wenye dstv.mimi nimeshindwa kwenda nina evening class.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #302 Kigogo said: stars 0 rwanda 2 ,,dakika ya 13 kipindi cha kwanza.teeeeeh nawadanganya Click to expand... Duh, mze wengine tuna matatizo ya moyo ati!!! Jokes aside, Mungu ibariki stars na tanzania kwa ujumla🙂
Kigogo said: stars 0 rwanda 2 ,,dakika ya 13 kipindi cha kwanza.teeeeeh nawadanganya Click to expand... Duh, mze wengine tuna matatizo ya moyo ati!!! Jokes aside, Mungu ibariki stars na tanzania kwa ujumla🙂
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #303 Game on!!! Tumeshapata offside mazee,
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #304 Dakika ya 8 yaenda Tanzania inafanya shambulizi la kwanza
Kilakshari JF-Expert Member Joined Dec 13, 2008 Posts 350 Reaction score 20 Dec 10, 2009 #305 unaonea wapi na sie tucheki huo mpira?
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #306 Am in Nairobi, KBC1 wanaonesha. Dakika ya 13 inakwenda Rwanda wanashambulia, Tanzania wana pasi ndogo hazina nguvu kabisa
Am in Nairobi, KBC1 wanaonesha. Dakika ya 13 inakwenda Rwanda wanashambulia, Tanzania wana pasi ndogo hazina nguvu kabisa
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,186 Reaction score 37,501 Dec 10, 2009 #307 Mungu ibariki Kilimanjaro star.wenye kuangalia mpira tafadhali up date kila mara niko mbali na mjini.
Mungu ibariki Kilimanjaro star.wenye kuangalia mpira tafadhali up date kila mara niko mbali na mjini.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #308 Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi
Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #309 Thanks Mkuu... na DSTV wanaonyesha kwenye sky sport 3, naona tumezidiwa na hawa jamaa... Nsajigwa kapewa kadi njano ya kipumbavu!
Thanks Mkuu... na DSTV wanaonyesha kwenye sky sport 3, naona tumezidiwa na hawa jamaa... Nsajigwa kapewa kadi njano ya kipumbavu!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Dec 10, 2009 #310 Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki taifa stars, unibariki na mimi na mazimo pia.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #311 Bujibuji said: Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki taifa stars, unibariki na mimi na mazimo pia. Click to expand... Mazimo ndiyo nani?
Bujibuji said: Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki taifa stars, unibariki na mimi na mazimo pia. Click to expand... Mazimo ndiyo nani?
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #312 Invisible said: Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi Click to expand... Ni kama wamekamia, mwishowe sasa wameanza kukosea hata plan ni kama wanazichanganya... Anyway so far so good maana tumeweza kucheza nao pamoja accuracy yao
Invisible said: Kitu ambacho naona Tanzania wanacho kwa sana ni nguvu, wanatumia mabavu katika defense sijui kama wataruhusu kufungika kirahisi Click to expand... Ni kama wamekamia, mwishowe sasa wameanza kukosea hata plan ni kama wanazichanganya... Anyway so far so good maana tumeweza kucheza nao pamoja accuracy yao
n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,013 Reaction score 2,684 Dec 10, 2009 #313 MTM said: Mazimo ndiyo nani? Click to expand... lol lugha gongana
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #314 Sasa tunaelekea pabaya...
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 10, 2009 #315 Invisible said: Sasa tunaelekea pabaya... Click to expand... ...Doh!,vipi tena mkuu
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #316 Tanzania wanaonesha soka zuri kiasi kuliko Rwanda, dakika ya 38. Mkuu walikuwa wamecheza ovyo dakika flani za nyuma
Tanzania wanaonesha soka zuri kiasi kuliko Rwanda, dakika ya 38. Mkuu walikuwa wamecheza ovyo dakika flani za nyuma
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Dec 10, 2009 #317 Faulo kuelekea Tanzania, imepigwa lakini ngome ya Tanzania iko imara!
K Komavu Senior Member Joined Apr 30, 2008 Posts 144 Reaction score 43 Dec 10, 2009 #318 Invisible, kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka. La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo) hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....
Invisible, kuna wakati unanitia presha sana, naingia mara moja kucheck matokeo then natoka. La sivyo ntashindwa kuvumilia (sina imani sana na timu ya maximo) hata hivyo naomba sana tushinde..... Thanks invisible kwa updates....
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,187 Reaction score 18,209 Dec 10, 2009 #319 Invisible said: Sasa tunaelekea pabaya... Click to expand... Mkuu usitie shaka!!! hawa bado na wao hawajatulia... refa ndio ananipa wasiwasi maana anatoa kadi kama vocha
Invisible said: Sasa tunaelekea pabaya... Click to expand... Mkuu usitie shaka!!! hawa bado na wao hawajatulia... refa ndio ananipa wasiwasi maana anatoa kadi kama vocha
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,553 Dec 10, 2009 #320 Bara watawaweza Zenj kweli kwenye nafasi ya tatu?