Hawa jamaa kila kukicha wanazidi kuimarika wanakuwa wazuri sana. Natabiri wanaibuka kidedea maana tuna mashine mbili kule duh Abdi Kasimu babi na Canavaro lol
Hahahaha mpwa bana mm nilikuwa nakula live kwa radio vp ulikuwa Titanic nn mpwa? hahahaha tayari umesha tia nanga duh. Hawa wa zenji wanaimarika kila kukicha
Mrisho Ngasa mwanangu mwenyewe katungua 3 katika hizo 4. Maximo mwenyewe pale alipokuwa alikuwa anajisikia kupaa, maana wanoko walishamdis kishenzi ati anaua timu, sijui leo watasemaje!
Vp upo Africa Magaribi nn na mpira unaendelea? mpira umekwisha tumeshinda 4 Ngasa wa Yanga amepiga 3 peke yake John Boko anae taka kuhamia Yanga kapiga 1.
Ndio mkuu tutacheza nao kwenye semis, wote hawa naona nguvu yao sawa, Rwanda washarudisha bao. Zanzibar Heroes watacheza tena na Cranes! natabiri fainali itakuwa - Kili Vs Zanzibar Heroes