Itakua poa sana,nilipata bahati kuona wachezaji wa Z'bar wakiondoka yule Beki wetu alikua akihojiwa alisema atapenda kukutana na stars kwani wachezaji anawajua na mechi inaweza kuanzuri na kipimo kizuri kwa makocha wetu.Yaani bora kua na Mzalendo kama Zbar au kuendelea na Maximo