Kombe, Barrick, Kabila, RPF, US: Blood Money out of Africa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kombe, Barrick, Kabila, RPF, US: Blood Money out of Africa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Aug 28, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Some how I bumped into this!

  http://www.fromthewilderness.com/free/politics/blood_sparkle.html

   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ndivyo tulivyo.......
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli. Just because there is no surface symptoms does not mean there is no underlying problems.
  We have big issues around which sometimes it is hard to comprehend. Our gold, coltan, uranium, gas, and oil have become a curse to us.
   
 4. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wajinga ndio waliwao
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Ukoloni Mamboleo at its best!

  And you still wondering why did we go to the Comoros to topple Col Bakari ...
   
  Last edited: Aug 29, 2009
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ndo mana Kambarage aliona bora asichimbe dhahabu,uranium,gas na kaza wa kaza,wadau mnadhani hakujua utajiri huu ulikuwepo wakati kabla hata ya mwingereza, mjerumani alishafanya mapping ya rasilimali hizi tokea huko naintiini kweusi? Mchonga meno alishang'amua kuchimba kungemletea soo akaamua kubana na umasikini wake.The oil curse? ngoja tuangalie Banyoro na Uganda na mafuta yao.
   
 7. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli. Kumbe Barick are used to blood money. They are used to killing people. Ndiyo maana watu wanakufa kule Tarime hawajali. Where are the American democrasy they want other nations to follow if they are the leading players in distablizing Africa.Clinton After winning bringing back the two american who were charged by transpassing into north korean soil or spying, the american call him "the man of the answer" Why he did not provide the answer or let the UN interrogate or even give them time to investigate the Rwandan president assassination suspects? Now i understand. Because he was involved. And that American killings of African in great lake area started because they realised the wealth of this area long ago and therefore wanted to put out the French and Belgium companies which were the colony masters. Recently China signed a contract to provide $6bil to DRC but US government was not happy. Now i got the ans.It is because they want to be the sole economic benefetor. And if this Kagame and Yoweri are used to assassinating presidents (Eg of Burundi, Rwanda and DRC congo twice) and Yoweri had earlier wanted to be the EA if formed and that He has those SAM, i suspect these two men will be the source of problem in our EAC. As it was during the introduction of colonial rule, African themselves were used bridges to fascilitate scramble for natural resource and human labour. Up to day African have not changed we are still bridges. Now our masters dont want us in their soils (human labour),with except from arabs they are neither much interested in our surface soil but our natural resources. What should we do? I sometime support chinese way though it is painful. You know they closed to outside world thay suffered but when they came out they will never go down.kwao adui no. one in rushwa. Uwezi amini lakini ni kweli pamoja na Beijing olympic kufana lakini muandaaji alipogundulika kupendelea makampuni tayari AMEUWAWA.
   
 8. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Last edited: Aug 28, 2009
 9. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh, Mkuu Rev. Kishoka habari hiyo hapo juu ni kali sana. Inaelekea kazi kubwa inafanyika wengine tukiwa tumelala. Mkuu shukrani kubwa.

  Inaelekea kuwa US na allies wake wa ndani na nje ya nchi zetu wanafanya mambo mengi mabaya kwa nchi zetu. Labda ndio maana waarabu wanawachukia na kuwakwepa sana.

  Sina uhakika kama kuna kiongozi wa Afrika anaeweza kusimama na kukataa ukoloni mamboleo wa US na baadhi ya nchi nyingine za ulaya. Inaelekea pia kuwa, bila kushirikiana nao, usalama wa kiongozi wa nchi unakuwa matatani. Wana watu wengi ndani na nje ya system zetu.

  Tatizo lao kubwa ni kuwa hawatoi support kwa mtu moja kwa moja na kwa muda mrefu. Angalia walichomfanyia Mabutu, Savimbi, L. Kabila na wengine wengi waliotajwa kwenye maelezo ya hapo juu. Nina uhakika pia hata hapa kwetu ambapo viongozi wetu wanapenda sana kujihusisha nao, itafika siku watajikuta katika mitego kama hiyo (kama bado hawajafika hapo). Inanikumbusha vikao vya JWB na JK Dar ambavyo vilifanywa kwa siri. Na pia kikao cha BHO na JK ambacho pia hakikupata publicity. Waliwafanyia hivyo hivyo akina Sadam Hussein pia na baadae wakawanyonga.

  Imenisikitisha sana kujua jinsi walivyo-eliminate watu waliokuwa wakijua kifo cha Habyerimana. Inawezekana pia hata waliomuua Kombe hawakuwa askari wa Tanzania.
   
 10. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Lakini siye si tuna Meremeta na Mwananchi Gold au ?
   
 11. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Yeleuuwiiiiiiiii,twafaaaaaa huku tungali hai.
   
 12. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndio USA ambayo watu wanaipenda kama nini, wanakupenda ukiwa na iterest nao kama huna interest nao then you are done, hilo wote tunalijua.

  Ila kinachonisikitisha kwenye hili ni serikali ya Tanzania na kujiusisha na majanga ya kumwaga damu za watu kwenye nchi zinazotuzunguka hapa nafikiri tumeingia era nyingine ambayo tukijazinduka nchi itakuwa imekwisha.

  Makampuni makubwa ya kimarekani na uigereza ni tabia zao kuchochea migogoro ndani ya nchi nyingi za Africa ili wafaidike na maliasiri za nchi hizo
   
 13. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Hayo ndo mambo yetu miafrica.
  Maana huruma na wenzetu hatuna na matokeo yake ndo hayo,ukionekana kuwapinga wanakuchinjilia mbali anapewa kiti mwingine mambo yanasonga mbele.
  Kwisha habari yake.
   
Loading...