Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 4, 2015 #1 Kutana na comandoo bora kabisa katika mbuga ya wanyama ya Virunga DRC.
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 3,789 Reaction score 9,346 May 4, 2015 #2 Ufupi matatizo tu...
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 May 4, 2015 #3 Amavubi said: View attachment 249005 Kutana na comandoo bora kabisa katika mbuga ya wanyama ya Virunga DRC. View attachment 249005 Click to expand... Jamaa alikuwa anacheza Kwasakwasa huyu.....mchana alikuwa anafanya kazi mbugani ila usiku alikuwa anayaruka magoma ya kwasakwasa na bendi ya Empire Bakuba.
Amavubi said: View attachment 249005 Kutana na comandoo bora kabisa katika mbuga ya wanyama ya Virunga DRC. View attachment 249005 Click to expand... Jamaa alikuwa anacheza Kwasakwasa huyu.....mchana alikuwa anafanya kazi mbugani ila usiku alikuwa anayaruka magoma ya kwasakwasa na bendi ya Empire Bakuba.
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 May 4, 2015 #4 Dunia mbaya, ati kuna kipindi waliwageuza kitoweo!!!!!!!
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 May 4, 2015 #5 Kuna kipindi hawa watu walikuwa wanaliwa kama mboga eti chumvi imehadimika