Mbona hawakutuonyesha drones na ishu za electronic warfare, maana vita ya siku hz imebadilika sana, kuna hitajika men on boots but bila drones na jammers hiyo vita itakuwa ngumu sana kwako. Wajifunze kupitia vita ya Ukrain.
Hayo malori na vifaru siyo sababu ya wewe kushinda vita, drones electronic warfare ndiyo kila kitu, kuanzia kwenye survaillance mpaka guidance ya mabomu na artillery. Rwanda wanewekeza sana kwenye hilo baada ya kuona amszungukwa na nanchi yenye silaha nzito nzito.